Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Amejotahidi kuchukua tahadhari ya hali ya juu. Ila lengo lake bado ni kumponda tu Dube kwa kuwa na magoli 34 ndani ya misimu minne!Muhasibu uzi wako umeuandika kwa staha sana.
Sio kawaida yako.
Au unaogopa mambo yata back fire?
Kumbe hapo ni wastani wa magoli 8-9 kwa kila msimu, jambo ambalo si haba kwa mshambuliaji aliyekumbwa na majeraha ya mara kwa mara.