Mangi Meno
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 292
- 895
Usijipe umaarufu na uthamani usio nao kwa watu dogo.๐๐๐๐๐Nimepokea maagizo yako Mkuu ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijipe umaarufu na uthamani usio nao kwa watu dogo.๐๐๐๐๐Nimepokea maagizo yako Mkuu ๐
Sawa Mkuu ๐Usijipe umaarufu na uthamani usio nao kwa watu dogo.๐๐๐๐๐
๐ฎ๐๐ฎSawa Mkuu ๐
Chambua takwimu za Dube basi mkuuTuwekee na takwimu za kibu
Mhsasibu anatukosea sana
Hasibu linaenda kwa step.Mhsasibu anatukosea sana
Hatujakuzoea hivyo
Kabisa yaani. ๐Mhsasibu anatukosea sana
Hatujakuzoea hivyo
Kaweka mmoja kwanza na usikute lengo lake aweke wa pili humo katikati ya uzi. ๐๐Hasibu siku hizi lina machale haliingizi miguu yote
Huu usajili ni hasara au sio hasara?View attachment 3035762
Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu ๐น
๐๏ธ 04 Misimu
โฝ๏ธ 34 Mabao
Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi
My Take
Dube kapendeza sana jezi ya Yanga
Mfalme ๐ majeruhi atua jangwani .
Anza kuchambua za kibu halafu nitakuchambulia za dube na za aziz ki kama kifungashio ndugu mwathibuChambua takwimu za Dube basi mkuu
Ficha upumbavu basi, kwani hapa mada ni nini au kuna mashindano? Kama huna cha kuchangia kaushaAnza kuchambua za kibu halafu nitakuchambulia za dube na za aziz ki kama kifungashio ndugu mwathibu
Akiweka nitag pleaseTuwekee na takwimu za kibu
Mwasibu mbona unatukana matusi mazito?Ficha upumbavu basi, kwani hapa mada ni nini au kuna mashindano? Kama huna cha kuchangia kausha
I guess wewe ndio mpumbavu kutokana na post zako za kipumbavu thus y baadae unaonekana kituko kwenye thread zako mwenyewe,usingekua mpumbavu ungeona aibu kwa yaliyokutokea on the past,ila kwa vile ni mpumbavu huwezi kuuona upumbavu wakoFicha upumbavu basi, kwani hapa mada ni nini au kuna mashindano? Kama huna cha kuchangia kausha