OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Leo amekuwa fairMuhasibu uzi wako umeuandika kwa staha sana.
Sio kawaida yako.
Au unaogopa mambo yata back fire?
Babu mbona hilo nilishaliongelea sehemu tena zamani sana kuna watu wakanipinga sikumbuki ni kwenye thread ipi, ila Mayele Simba wanamuhitaji.Leo amekuwa fair
Hataki kuandaa uchambuzi wa Kihasibu leo π
By the way nimeona sehemu kwamba Simba tunamleta Mayele kama namba 9 wetu hivi karibuni.
Ngoja nimpigie Mjukuu wangu Nifah athibitishe undani wa hii taarifa
Ule uzi wa kihasibu unamuadhibu kila leoMuhasibu uzi wako umeuandika kwa staha sana.
Sio kawaida yako.
Au unaogopa mambo yata back fire?
Sijui kwa nini ila nikionaga huu muandiko wako huwa kama huyu muandishi namjua vile. π€£π€£π€£π€£Leo amekuwa fair
Hataki kuandaa uchambuzi wa Kihasibu leo π
By the way nimeona sehemu kwamba Simba tunamleta Mayele kama namba 9 wetu hivi karibuni.
Ngoja nimpigie Mjukuu wangu Nifah athibitishe undani wa hii taarifa
Koh Koh Koh .............πππSijui kwa nini ila nikionaga huu muandiko wako huwa kama huyu muandishi namjua vile. π€£π€£π€£π€£
Teh teh.
Nitafurahi hizi habari zikiwa za kweli, maana hii Miaka mitatu ya ninyi kutamba na kubeba vikombe mfululizo kumefanya nipungue kilo 15Babu mbona hilo nilishaliongelea sehemu tena zamani sana kuna watu wakanipinga sikumbuki ni kwenye thread ipi, ila Mayele Simba wanamuhitaji.
Watamsajili au lah tusubiri tuone, nakuongezea na Feisal usishangae akimwaga wino msimbazi.
We babu isheni tu wewe na mkweo, mmeyataka mwenyewe hamkutumwa kuwa makolo πNitafurahi hizi habari zikiwa za kweli, maana hii Miaka mitatu ya ninyi kutamba na kubeba vikombe mfululizo kumefanya nipungue kilo 15
Yaani wastani wa kupoteza kilo 5 Kila mnavyobeba Kombe π
Imagine na mwakani mkibeba, si nitaisha Babu yenu Kwa kukondaπ
kwa mbili mbili zimegoma...π€£Mhasibu hatujakuzoea hivyo, shusa nondo zako za kihasibu
Kumbe Mimi na Mkwe wangu tuna bahati mbaya.We babu isheni tu wewe na mkweo, mmeyataka mwenyewe hamkutumwa kuwa makolo π
Kauandika kwa staha japo lengo lake ni kukashfu huyo mwasibu wa Debora FC.Muhasibu uzi wako umeuandika kwa staha sana.
Sio kawaida yako.
Au unaogopa mambo yata back fire?
Huu ujinga wako peleka kule selfika dogo.Kumbe Mimi na Mkwe wangu tuna bahati mbaya.
Hata Bibi yako nyumbani ni Pure Yanga wakati huo Mimi nipo Msimbazi.
Mwaka 47 niliwahi kutafuta dogodogo mmoja ili kubalance mzani, Unlucky me, naye akawa ni Yanga Lia lia π
Nikaamini kweli kimfaacho mtu Chake π π€
Mkuu unamchukia mtu hata Kwa maandishi yake??Huu ujinga wako peleka kule selfika dogo.