Amejotahidi kuchukua tahadhari ya hali ya juu. Ila lengo lake bado ni kumponda tu Dube kwa kuwa na magoli 34 ndani ya misimu minne!Muhasibu uzi wako umeuandika kwa staha sana.
Sio kawaida yako.
Au unaogopa mambo yata back fire?
Kwa Mayele kule hawawezi mwachia kwa sasa labda msimu mwinge ujao.Babu mbona hilo nilishaliongelea sehemu tena zamani sana kuna watu wakanipinga sikumbuki ni kwenye thread ipi, ila Mayele Simba wanamuhitaji.
Watamsajili au lah tusubiri tuone, nakuongezea na Feisal usishangae akimwaga wino msimbazi.
Muhasibu wa mchongo anaponda kijanja sana japo tumemstukia.Amejotahidi kuchukua tahadhari ya hali ya juu. Ila lengo lake bado ni kumponda tu Dube kwa kuwa na magoli 34 ndani ya misimu minne!
Kumbe hapo ni wastani wa magoli 8-9 kwa kila msimu, jambo ambalo si haba kwa mshambuliaji aliyekumbwa na majeraha ya mara kwa mara.
Mwasibu feki OKW CPA uchwara SUNZU BOBAN ovyo kabisa tunasubiria tena uje na hesabu mpya aka income statement ya Dube.View attachment 3035762
Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu πΉ
ποΈ 04 Misimu
β½οΈ 34 Mabao
Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi
My Take
Dube kapendeza sana jezi ya Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfalme [emoji146] majeruhi atua jangwani .
Sawa mkuu ila kesho naomba uje new version ya hii post ambayo ipo kihasibu.View attachment 3035762
Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu
04 Misimu
34 Mabao
Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi
My Take
Dube kapendeza sana jezi ya Yanga