LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huku wanakohama mbona watu hawapungui?
 
Hapa yaliandikishwa mpaka majini na mashetani
 
Kwa sababu ndiyo wanajitukuza kuwa chama kikuu cha upinzani ...uelewi nini hapo..tatizo ni hiyo taito wanajo jitukuza naya kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani huku hawana AKILI YOYOTE
Sio kwa vile hao (CHADEMA) ndio “waliosherehekea” kifo cha Magufuli? Una hasira sana nao?
 
Waachiwe wamalizie kupiga kura wenyewe na baadaye watoe ripoti kuonesha 100% wamemejitokeza kupiga kura.
 
Wanahamia kutoka nje ya nchi?
Mwingiliono wa kimikoa na wilaya wanahams yoks mkos huu au wilaya hii kwenda mkoa mwingine na wilaya nyinhine.kwani hioni mabasi kila siku mfano unakuta mabasi 40 yanatoka Dar yanaenda arusha na pia kuna mabasi mengine 40 yanatoka Arusha kuja Dar unashangaa nini

Nenda standing ya basi uangalie mabasi yanayoondoka na yanayoingia kila siku
 
Kwa hiyo watu wamehamia zaidi Tanga na Mwanza??
 
Sio kwa vile hao (CHADEMA) ndio “waliosherehekea” kifo cha Magufuli? Una hasira sana nao?
Kama walisherekea basi mbona sasa wanalia na kusaga meno
..tena nawatabilia kuzidi kulia hadi machozi ya damu 😁😁😁
 
hata kama takwimu hizi si halisi lakini zinaakisi hali halisi ya hamasa ya wananchi inavyoongezeka katika kushiriki mazoezi mbalimbali ya kitaifa hususani hili la uchaguzi wa Serikali za mitaa..

vijanaa wazalendo wa shule na mitaani wenye kuanzia miaka18, ndiyo hasa chimbuko la hamasa na ongezeko la washiriki katika mambo haya..

Taarifa ya mwisho itakapotoka baada ya majumuisho ya waliojiandikisha yatakapokamilika, hususani maeneo yale ambayo zoezi la kujiandikisha linaendelea ni dhahiri, waliojiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa Nov27, 2024, wanaweza kua ama pungufu kidogo au zaidi ya milioni 40.🐒

Mungu ibariki Tanzania
 
Reactions: Tui
Kama walisherekea basi mbona sasa wanalia na kusaga meno
..tena nawatabilia kuzidi kulia hadi machozi ya damu 😁😁😁
Sawa. Hiyo ndiyo kero yako kubwa na Mbowe na CHADEMA. Wangeenda Chato kumuomboleza Magufuli nina hakika usingekuwa ukiwananga kila wakati.
 
Sawa. Hiyo ndiyo kero yako kubwa na Mbowe na CHADEMA. Wangeenda Chato kumuomboleza Magufuli nina hakika usingekuwa ukiwananga kila wakati.
Sasa wapumbavu waende chato kuna nini cha maana 🙄🙄🙄🙄 mbona samia kaenda sana tu
 
Tetetesi ni kua waliambiwa kila siku waandike majina hewa 50 sijui lengo ninini
 
Inchi za africa huwa wanatumia vyombo vya habari kuwapumbaza wanainchi, ukiona waziri yoyote yule ametoka mbele ya kamera na kuzungumza jambo lolote lile inatakiwa ujue kuwa ukweli ni asilimia 2 tu ! Vingine vyote ni propaganda.
 
Watanzania hatujulikani tunatakaje. Matokeo ya Sensa yalipotoka, tulisema yamepikwa kwani watu wengi hawajahesabiwa, sasa hivi tunalalamika tena kuna maeneo walioandikishwa ni wengi kuliko idadi ya wenye sifa.

Simple mathematics pia zimetushinda, tukiona waliojiandikisha ni 112.1% maana yake ni kuwa waliojiandikisha ni wengi kuliko makadirio so hatupaswi kushangaa.
 
Reactions: Tui
Waliokuwa na miaka 80 mwaka 2022 hawajafa??
Wangapi njoo na takwimu .Kwani kwa Tanzania wenye miaka 80 na kuendelea wako wangapi?Na waliokuwa na miaka 16 sasa wana miaka 18 ni wangapi?It is just commonsense.Takwimu za sensa zipo wazi.Ni nadra sana watanzania kufika miaka 80.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…