Takwimu zinavyomkataa Ibra Traore kama mkombozi wa Burkinabe na Waafrika

Majengo ya Umoja wa Africa Union(AU) yamejengwa na China.
Huezi pewa ela na IMF au WB alfu ukaja ukajenga Barabara na Company ya Africa Never Unakopa ela Marekani unafanya kazi na Company ya Marekani ama Ulaya kwa Ujumla Ela Haizunguki mbali na Kwao
 
Mkuu marekani ilipo sasa imepitia mengi miaka na miaka, ndani ya 3 yrs huwezi kuja na tathmini hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…