Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hata mie sitamani akamatweInawezekana ikawa sio kwn nakumbuka kuna kipindi alidai pia kuwa amemkamata na kesi iko polisi, kipindi hicho alidai ni Safina, lkn bado kp aliendelea.
Lkn pia kama kesi ipo polisi huko Finland kwnn kila mara anataka watu wajue kuhusiana na hy kesi as if yy ndo hakimu?
Ngoja tuone but ni mapema sana kuhitimisha kuwa yule Emma ndiye kp