Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Hata mie sitamani akamatwe
 
Mange ameshasema say anything about her using your true identity,anything else she will pursue you to the ends of earth-fair game you attack her and she answers back-ukificha identity unamnyima haki yake ya kujitetea
Kwanini asiwe anajibu kwa facts kwa anayosemwa?
Kutukanana haoni kama ni kujishushia heshima? (Kwa heshima gani kwanza [emoji20][emoji20])
Hata hivyo kumjibu adui ni kukoleza moto wa mashambulizi hili halijui na limemshinda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mange huwa nacheka tu kumsoma,ila kumuamini ni 50/50.
 
Mange ameshasema say anything about her using your true identity,anything else she will pursue you to the ends of earth-fair game you attack her and she answers back-ukificha identity unamnyima haki yake ya kujitetea
Ananyimwaje haki yake ya kujitetea hapo? Kama ni uongo si akanushe tu? Kaona ameguswa pahala pake huyo, this time kapatikana mjanja mwenzake yy si hakubali kushindwa?
 
wewe,le mutuz ana radio na tv ukiondoa kwa sasa yeye ndio promoter wa events zilizoshiba bongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akija lazima atakupa le super kiss you know
[emoji23][emoji23][emoji23]
Personality ya Le mutuz ndio itazifanya hizi station zichanganye na sio huyo Mosha-hapo nadhani umenielewa-hiyo asilimia moja inaweza geuka 50 overnight
 
Hata mm nimenote hicho kitu mkuu
 
Jamani hata mimi naombea sana asiwe KP.
Mange ni bingwa wa kukurupuka,tusubiri na tuone.
Period
 
Kwenye post zake tu mkosoe kidogo hata kwa jambo muhimu anakupa solex na kichambo juu anaweka kwenye post yake kwa kuedit. Hapo ndo nashangaa anataka democrasia wakati yy hatoi nafasi hy kwenye Page yake. Mrs Perfect
 
Solex ni nini, if I may ask.
 
Anadai sheria za Marekani zinamlinda.
Kwao kumtukana Rais sio big issue yani.

Basi atukane viongozi wa huko Marekani, si anaishi huko lazima awe na interest na nchi ya wanae. Atukane viongozi huko aone moto.

Demokrasia unatetea freedom of speech, but every freedom has limits. Huwezi kutukana tena mtu ambae hajakutukana eti kwa vile ni haki yako kikatiba kuongea!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akija lazima atakupa le super kiss you know
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]si kwa kumtetea uko na matamasha uwa anaandaa sijui matamasha gani ayo ngoja wit aje labda nasra uyu
 
Radio na tv ni za bilionea David Mosha
Shangaa ww [emoji28][emoji28]et n promoter wa events zilizoshiba zipi alizoandaa lemutuz atutajie ata moja miss natafuta njo ucheke uku sijui ulidanganywa dada kama yule wa mahotpots [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…