Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Haya jamani picha ya Mange hii hapa japo nimeipata ikiwa imeunganishwa.
Mange akiwa uwani kwake LA kulia,na kushoto kitanda chake alichokichafua kwa P.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
cc Khantwe Evelyn Salt Charity Diva Beyonce Ayanda85 Heloo Sky Eclat mwasu brenda18 nsalu Dinazarde n.k View attachment 339482
Khaaa! hiyo shuka analalia Mange? Hicho kitanda nacho chake? Mwanamke asietoka bila kupaka make up?! kweli sasa ndio nimeamini zile chupi zenye ukoko ni asili yake ya uchafu?! mama watatu period mpaka kwenye shuka?! mhhhhhh! Frank amfunde Bhoke mwenyewe bila hivyo binti kwishnei.
 
wanawake wa bongo nimewavulia kofia... mko na data na interest za mambo haya balaa

Yaani ni Balaa hawa watu.Yaani kuna wanaoshambulia kwa Kombination ya MSN .Mess,Suarez na Neymar.

Naona mhusika mkuu kajitokeza kapewa makombora kama yale ya Benghazi

Sijui huko alipo yupo kwenye hali gani muda huu anaweza akawa anautazama huu uzi kwa hasira na kuuma meno tu.Halafu hawataki kumuacha .

Yaani afadhali wangemchapa vibao tu yaishe maana haya maneno yao maumivu hudumu labda aombe JF wauondoe huu Uzi.

Sema wanaume nasi tuna roho ngumu kuvumilia maana sipati picha ukute ni patna au Mke wako anapewa za uso hivi halafu bado haachi tu.

Wanawake hawa kwa mipasho ni balaa tupu kweli.
 
Kwa tabia hii ya kukubali kuwa mchepo, elimu yake haijamkomboa kifikra kwa kweli.
Huyo mama aliwahi olewa kwa ndoa na rubani mmoja
Ndoa iliisha nadhani maana huyo baba yupo hapohapo bongo ila waliachana
 
Huyo mama aliwahi olewa kwa ndoa na rubani mmoja
Ndoa iliisha nadhani maana huyo baba yupo hapohapo bongo ila waliachana
Hawa watoto wa Malecela nao wana balaa gani jamani?
Mbona huwa tunamkandia Le Mutuz na kumsifia dada yake?
Kumbe ndio walewale?
Mhhhhhhhhh!
 
Hawa watoto wa Malecela nao wana balaa gani jamani?
Mbona huwa tunamkandia Le Mutuz na kumsifia dada yake?
Kumbe ndio walewale?
Mhhhhhhhhh!
No Nifan usiseme hivo, kwenye ndoa kunachangamoto nyingi sana, kuna watu wana degree za uvumilivu na wapo amabao mioyo yao unaumia kupita kiwango. Tusimuhukum Dr. Mwele kwa personal life yake...my cousin sister anafanya kazi NIMRI anamsifia sana kwa kazi na utendaji wake, Yaani namwonea huruma anavoingizwa kwenye mambo yasiomuhusu.
 
Pampers ya Keanu hiyo hapo chini. Viatu mjomba na shangazi ha ha ha ha ha muke ya mzungu utadhani anaishi dampo, hicho kitanda vepe anatupiaga picha kajiachia kwenye vitanda vya hotels chake mbona hajiachii ha ha ha hilo shuka kama pazia
Hahahahahaaaa hii picha ni vile tu hawezi angeshasema ni Photoshop!
Sio kwa uchafu huo!
Mie mla vumbi niliyeko bongo tu siwezi kujiachia hivyo,ijekuwa yeye wa LA?
Jasiri haachi asili lakini (uchafu).
 
Jamii forum ifungwe na na nani? pole yake bibi bomba kamtukana Lowasa kasahau ni mwenye hisa vodacom, vodacom wamechomoa ufadhili wa blog yake kashindwa kuiendesha kafunga. haaa chezea watu na pesa zao.. mwanzo kukwepa aibu kasema anafanya diete atarudi, sasa mwezi wa saba huu hata kama angekuwa nguruwe diete ingesha isha. Pole mwana mtoka majunguni.
Mange anamtukanaga sana Sintah lakini nadhani kwa sasa kamshinda huyo Mange.
Kwanza blog yake ina wadhamini kibao japo haiko hot kivile.
Mange naamini sasa ni kichaa.
Kwa kumtukana kule January na bado Lowassa alidhani watamuacha?
Hivi unaanzaje kumtukana boss wako?
Sio siri kipindi kile alichokuwa anamdhalilisha Mzee wa watu machozi yalikuwa yananitoka.
I HATE YOU MANGE!
 
Mange bwege kweli eti anamtukana Lowasa huku anaisifia CCM akiamini atapata nafasi katika serikali wakati huo huo wenye chama (January na Ridhiwani) anawatukana. Akili ziro hajui hata ashike wapi, kajileta mbioo kuja kutaka ubunge viti maalum kaishia kulala mahabusu. chuki mbaya sana.
 
No Nifan usiseme hivo, kwenye ndoa kunachangamoto nyingi sana, kuna watu wana degree za uvumilivu na wapo amabao mioyo yao unaumia kupita kiwango. Tusimuhukum dr Mwele kwa personal live yake...my cousin sister anafanya kazi NIMRI anamsifia sana kwa kazi na utendaji wake, Yaani namwonea huruma anavoingizwa kwenye mambo yasiomuhusu.
My dear,sijahoji career yake,ni vile tumekuwa tukimsema Le Mutuz kuhusu maisha yake ya kimahusiano na kumsifia dada yake kumbe ndio walewale.
Hata hivyo tuyaache haya,tumlindie heshima mama wa watu maana hana alichotukosea.
Huyu Mange kamharibia sana mama wa watu.
 
Kama Bhoke alifikia kufunzwa usafi wa binti na walimu?! Nampongeza Frank kwa kumuacha Mange, kweli mwanamke wa kitanzania maadili ziro?! Hawa wazungu kwa nini wanapenda kuoa wanawake walioshindikana?! Hata zeenat alivumilia sana aisee, kwa utoko ule! utafikiri ana ukoma hana kdiole cha kusafisha huko?! kazi kweli bora angekuwa anajistiri na pant liner kuficha aibu yake.
Huyo Frank nasikia hata alikuwa hampendi Mange kihivyo,ilikuwa one night stand ndio bibie kubeba mimba hapohapo.
Tena ilikuwa chooni.....uwiiiiiii!
Yule mama ana moyo sana,inaonekana alikuwa anafanya kazi kama punda.
Halafu bado mzungu hajampangia chips 8 dinner!
Mimi ningesharudi Bongo aisee.
 
Mange anatamani sana kurudi bongo, ila ndio hawezi anaogopa kuchekwa maana alivyowananga waliokuwa mashoga zake, ataishi kwa shida sana, nakumbuka kuna siku alifungua uzi kwenye blog yake kumtukana Naky mtoto wa mama kilango kuwa mwaname kamuacha ila bi dada kang'ang'ania nyumba eti kwa kuwa iko uzungungu, mwanaume kaondoka na sanduku siku dada nae kasafiri kurudi kakuta mwanaume kaweka kufuli nyingine getini ila daa asiingie ndani, Mange aliirusha kwa mbwembwe vibaya sana, leo yamemkuta yeye?! Kweli Mungu si mzungu.
 
Yaani ni Balaa hawa watu.Yaani kuna wanaoshambulia kwa Kombination ya MSN .Mess,Suarez na Neymar.

Naona mhusika mkuu kajitokeza kapewa makombora kama yale ya Benghazi

Sijui huko alipo yupo kwenye hali gani muda huu anaweza akawa anautazama huu uzi kwa hasira na kuuma meno tu.Halafu hawataki kumuacha .

Yaani afadhali wangemchapa vibao tu yaishe maana haya maneno yao maumivu hudumu labda aombe JF wauondoe huu Uzi.

Sema wanaume nasi tuna roho ngumu kuvumilia maana sipati picha ukute ni patna au Mke wako anapewa za uso hivi halafu bado haachi tu.

Wanawake hawa kwa mipasho ni balaa tupu kweli.
waswahili wanasema mchimba kisima kaingia mwenye... Mange kazoea kuingilia ya wenzake, ila hii thread balaa
 
Pole mange kwa kipindi kigumu unachopitia, rudi uwaombe msamaha wote ulowaumiza huenda ukapona
 
Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.

Miguu kaa fito zisizo na ubora.

Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.

Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
Siku zote asilimia 99 ya wazungu wanaoa vikaragosi au hawkers,ulitaraji vibaya kuwa mke wa mzungu atakuwa ni mrembo wa asili,ni sawa na kutaraji kumpata malaya asiye bandia kwenye urembo wake.
 
Back
Top Bottom