Nifah umemkomalia mtu tangu juzi. Nacheka sana comments za watu humu .Mi nasoma comments tu hapa.Nimecheka sana Mhusika alivyokurupuka huko na matusi juu.
Yaani wadada wengine wanajitafutia majanga wenyewe tu.
Yaani majukwaa mengine yakinichosha nimekua nikifika kwenye huu uzi kwa ajili ya kusoma comments na kuishia kuvunjwa mbavu kwa comments za wadau
Ni miezi michache lakini nilionya hii tabia ya mtu kushupalia maisha ya wengine na kuwachafua kwa ulimbukeni wa kutumia mitandao tu haitamfikisha mtu sehemu salama.
Kwa mtu aliyetulia akitukanwa na huyu bidada anapaswa kumpuuza na kumuacha alivyo maana uswahiliswahili wake haoni aibu na kama ni kujibiwa atajibiwa na wengine
Sasa mtu una exposure halafu kazi kubwa ni kutukana watu na kuzushia watu uongo kwenye mitandao ya kijamii.
Kuna kesi zimeshafunguliwa .Ukiwa ignorant wa sheria siku zote utafanya mambo ambayo ni ya kishamba na utakuwa unaswekwa rumande kila siku na kuwapigia magoti watu.