Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Khaaa! hiyo shuka analalia Mange? Hicho kitanda nacho chake? Mwanamke asietoka bila kupaka make up?! kweli sasa ndio nimeamini zile chupi zenye ukoko ni asili yake ya uchafu?! mama watatu period mpaka kwenye shuka?! mhhhhhh! Frank amfunde Bhoke mwenyewe bila hivyo binti kwishnei.
 
wanawake wa bongo nimewavulia kofia... mko na data na interest za mambo haya balaa

Yaani ni Balaa hawa watu.Yaani kuna wanaoshambulia kwa Kombination ya MSN .Mess,Suarez na Neymar.

Naona mhusika mkuu kajitokeza kapewa makombora kama yale ya Benghazi

Sijui huko alipo yupo kwenye hali gani muda huu anaweza akawa anautazama huu uzi kwa hasira na kuuma meno tu.Halafu hawataki kumuacha .

Yaani afadhali wangemchapa vibao tu yaishe maana haya maneno yao maumivu hudumu labda aombe JF wauondoe huu Uzi.

Sema wanaume nasi tuna roho ngumu kuvumilia maana sipati picha ukute ni patna au Mke wako anapewa za uso hivi halafu bado haachi tu.

Wanawake hawa kwa mipasho ni balaa tupu kweli.
 
Kwa tabia hii ya kukubali kuwa mchepo, elimu yake haijamkomboa kifikra kwa kweli.
Huyo mama aliwahi olewa kwa ndoa na rubani mmoja
Ndoa iliisha nadhani maana huyo baba yupo hapohapo bongo ila waliachana
 
Huyo mama aliwahi olewa kwa ndoa na rubani mmoja
Ndoa iliisha nadhani maana huyo baba yupo hapohapo bongo ila waliachana
Hawa watoto wa Malecela nao wana balaa gani jamani?
Mbona huwa tunamkandia Le Mutuz na kumsifia dada yake?
Kumbe ndio walewale?
Mhhhhhhhhh!
 
Hawa watoto wa Malecela nao wana balaa gani jamani?
Mbona huwa tunamkandia Le Mutuz na kumsifia dada yake?
Kumbe ndio walewale?
Mhhhhhhhhh!
No Nifan usiseme hivo, kwenye ndoa kunachangamoto nyingi sana, kuna watu wana degree za uvumilivu na wapo amabao mioyo yao unaumia kupita kiwango. Tusimuhukum Dr. Mwele kwa personal life yake...my cousin sister anafanya kazi NIMRI anamsifia sana kwa kazi na utendaji wake, Yaani namwonea huruma anavoingizwa kwenye mambo yasiomuhusu.
 
Pampers ya Keanu hiyo hapo chini. Viatu mjomba na shangazi ha ha ha ha ha muke ya mzungu utadhani anaishi dampo, hicho kitanda vepe anatupiaga picha kajiachia kwenye vitanda vya hotels chake mbona hajiachii ha ha ha hilo shuka kama pazia
Hahahahahaaaa hii picha ni vile tu hawezi angeshasema ni Photoshop!
Sio kwa uchafu huo!
Mie mla vumbi niliyeko bongo tu siwezi kujiachia hivyo,ijekuwa yeye wa LA?
Jasiri haachi asili lakini (uchafu).
 
Mange anamtukanaga sana Sintah lakini nadhani kwa sasa kamshinda huyo Mange.
Kwanza blog yake ina wadhamini kibao japo haiko hot kivile.
Mange naamini sasa ni kichaa.
Kwa kumtukana kule January na bado Lowassa alidhani watamuacha?
Hivi unaanzaje kumtukana boss wako?
Sio siri kipindi kile alichokuwa anamdhalilisha Mzee wa watu machozi yalikuwa yananitoka.
I HATE YOU MANGE!
 
Mange bwege kweli eti anamtukana Lowasa huku anaisifia CCM akiamini atapata nafasi katika serikali wakati huo huo wenye chama (January na Ridhiwani) anawatukana. Akili ziro hajui hata ashike wapi, kajileta mbioo kuja kutaka ubunge viti maalum kaishia kulala mahabusu. chuki mbaya sana.
 
My dear,sijahoji career yake,ni vile tumekuwa tukimsema Le Mutuz kuhusu maisha yake ya kimahusiano na kumsifia dada yake kumbe ndio walewale.
Hata hivyo tuyaache haya,tumlindie heshima mama wa watu maana hana alichotukosea.
Huyu Mange kamharibia sana mama wa watu.
 
Huyo Frank nasikia hata alikuwa hampendi Mange kihivyo,ilikuwa one night stand ndio bibie kubeba mimba hapohapo.
Tena ilikuwa chooni.....uwiiiiiii!
Yule mama ana moyo sana,inaonekana alikuwa anafanya kazi kama punda.
Halafu bado mzungu hajampangia chips 8 dinner!
Mimi ningesharudi Bongo aisee.
 
Mange anatamani sana kurudi bongo, ila ndio hawezi anaogopa kuchekwa maana alivyowananga waliokuwa mashoga zake, ataishi kwa shida sana, nakumbuka kuna siku alifungua uzi kwenye blog yake kumtukana Naky mtoto wa mama kilango kuwa mwaname kamuacha ila bi dada kang'ang'ania nyumba eti kwa kuwa iko uzungungu, mwanaume kaondoka na sanduku siku dada nae kasafiri kurudi kakuta mwanaume kaweka kufuli nyingine getini ila daa asiingie ndani, Mange aliirusha kwa mbwembwe vibaya sana, leo yamemkuta yeye?! Kweli Mungu si mzungu.
 
waswahili wanasema mchimba kisima kaingia mwenye... Mange kazoea kuingilia ya wenzake, ila hii thread balaa
 
Pole mange kwa kipindi kigumu unachopitia, rudi uwaombe msamaha wote ulowaumiza huenda ukapona
 
Siku zote asilimia 99 ya wazungu wanaoa vikaragosi au hawkers,ulitaraji vibaya kuwa mke wa mzungu atakuwa ni mrembo wa asili,ni sawa na kutaraji kumpata malaya asiye bandia kwenye urembo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…