Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Khataree... sasa mbona mnamnyonyoa mwenzenu bila hata maji ya moto au samli?😡
Hahahahaaaaa mbona yeye hunyonyoa wenzie?
Huu mwaka ni wake.
Instagram Kichwapanzi huku JF moto.
Lazima akae.....
 
Nakumbuka shoga angu,hadi michepuko ya yule baba ikaanikwa hadharani....
Ni kiasi cha muda tu,kila kitu kitakuwa wazi.
 
Kuna yule dada alitukanwa mpaka aliforge kifo chake, nani anamkumbuka?
Namkumbuka ila jina lake limenitoka kidogo
Loooh,ile ilikuwa hatari.
Ila yule alimkomesha,alijidai kafa bi mkora akafuta posts zote!
Kuja kushtuka keshaliwa.
 
Namkumbuka ila jina lake limenitoka kidogo
Loooh,ile ilikuwa hatari.
Ila yule alimkomesha,alijidai kafa bi mkora akafuta posts zote!
Kuja kushtuka keshaliwa.

Yaani alimuanika mpaka furniture ya sitting room ya China, kumbe yeye hata hiyo ya China hana, ana sofa moja du kichwapaziii mshenzi.
 
Huyu mwanamke kiyasi yamkute, anawananga wenzie sana nakutukana Mpaka familia zao, alimtukana Mdada sijui anaitwa Nani akasema ni HIV Positive Na sijui changu ilimradii kashfaa tele, Sasa yamemkutaa atangaze Na Yake Kama yeye mbea...
 

Yani umenitonesha kidonda Nifah! Nimedevelop chuki kali sana kwa Mange sababu ya Lowassa, kile kipindi nlikua nalia sana Mange alizidisha kejeli jamani! nikimuona Lowassa kasimama jukwaani kwa upole bila jazba pamoja na kejeli zote baba wa watu asee i was crying!! Mange utapata shida sana wewe mwanamke ogopa mtu mkimya utaadhirika mdogo mdogo mwishoe ujiue!! Ulilipwa bilioni ngapi kumdhalilisha kiasi kile baba wa watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…