Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
Tatizo mange mchafu,much know
Na hapendagi kujishusha lol pole yake
Na hapendagi kujishusha lol pole yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifurahii ndoa kuvunjika, ila Mange alizidi jamani kujinadi kha! mume wake ndio mume, mzuri, tajiri anajali, ameelimika, amemzalisha watoto wazuri, loo, ikafika mahali akatukana wabongo waliolewa na wanaume weusi, eti wanaume weusi hawajui kupenda, wanyanyasaji, washenzi wa tabia? Akaja na aIDEA ya kuwasaidia wanawake wa bongo kuolewa na wazungu.. mwe... wenye akili kama zake walitiirika balaa mpaka akasema atawachaji kwa walioshindwa kutumia huo mtandao wa kujiuza, leo MZUNGU ambae kwake ndio MUME kamuacha? balaa hilo ni kubwa ndio maana kazidi kuwa chizi.. pole sana na ajifunze kuwa HUJAFA HUJAUMBIKA.
Kwani wazungu ndio kina kina nani?! Ndoa haina ASILI, ndoa inahitaji Maridhiano yaheshimiwe na wote wawili, Mzungu alimvumilia sana huyu mwanamke tabia ya Mange kwenye jamii ni ngumu sana kuishi nae mke kila siku anaongeza maadui unategemea nyumba inanoga kweli?Mi nashangaa hata wazungu wanaacha wanawake!
Na hili ndilo tatizo linalomfanya Mange awe na hasira na watu, maisha yake kila siku anataka kuuaminisha uma ni ya furaha tu, kwake hakuna maumivu, matokeo yake anakosa wa kumpa ushauri, kumtia faraja anabaki kutukana tu mitandaoni akifikiri anapunguza machungu. Kwani akikiri kaumizwa na kitu fulani akaomba ushauri itamgharimu nini wakti hana lolote afanyalo useme atapata hasara?! Huyu atakuwa na hasira za babake, badala ya kutafuta ufumbuzi unajiua. Abadilike.Hahahahaaa Mange kafuta ile picha anayolia jamani!
Nani alikuambia upost?
Si umesema sio vibaya kushare huzuni zako kama unavyoshare ukiwa na furaha?
Wambea tulishanyaka screenshots zamaaaaani,pole!
Stress zitakuua mama,rudi nyumbani tu.
![]()
Mateso ya kujitakia; anapambana na so called maadui zake kuwaonyesha kuwa mambo yamewanyookea. Maisha yalikuwa enzi zetu aisee, wa Changombe tujajirusha kivyetu, wa Magomeni kivyao, Upanga hali kadhalika. Sana sana mtakutana Coco Beach na Disco la Mawingu. IG imewapumbaza kweli si uwongoMi nacho mshangaa kwa nini analazimisja Maisha kama Magumu si aachane nayo tu afanye mambo mengine na hii IG inawafanya watu waishi maisha wasiyoyaweza.
shost bado uko ubungo hali ya hewa dar siyo powa kwanguHali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi.
Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange kaachwa na mumewe Lance na sasa wanalelea watoto tu.
Lakini Mange mwenyewe amekuwa akijitutumua kuonesha mambo sio mabaya katika ndoa yao,japo ni dhahiri kwamba hakuna ndoa baina yao tena.
Leo kwa mara ya kwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka picha akiwa ni mwenye majonzi mengi,hii ndio kumaanisha ameamua kuweka hadharani siri ya kuachwa aliyoipigania kuificha kwa muda mrefu?
Habari ya kuachwa ilikolezwa na 'ubuyu' kutoka kwa shoga yake Mange wa kuitwa Killy Janga ambaye inasemekana Mange alimpigia simu huku akilia kuwa kaachwa.
Na hii ni kipindi kile aliandika kupitia blog yake kwamba yuko katika wakati mgumu "DEEP MAWAZUUUUUU"
Ushauri wangu kwako Mange [emoji105]
Huu ni wakati wa kuacha kuishi fake life,umri umekwenda sasa mama watatu.
Nasikia umefanya diet ili upate kibabu cha kizungu kikusaidie kulelea watoto huko Marekani maana mambo ni magumu kwako.
Utaishi maisha hayo mpaka lini?
Nyoosha mikono sasa na uwaombe msamaha wote uliowachafua kupitia mitandao ya kijamii na urudi nyumbani.
Bado hujachelewa,elimu unayo nzuri na kiukweli pamoja na uchizi wako ila uko njema kichwani.[emoji6]
Kama kawaida,habari hainogi bila picha.
Hivi ndivyo ilivyokuwa huko Instagram
View attachment 338351
Na hivi....
Matokeo ya diet ya mawazo ya kuachwa
View attachment 338352
The problem of being fake is that sometimes you can fake even your own imageHali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi.
Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange kaachwa na mumewe Lance na sasa wanalelea watoto tu.
Lakini Mange mwenyewe amekuwa akijitutumua kuonesha mambo sio mabaya katika ndoa yao,japo ni dhahiri kwamba hakuna ndoa baina yao tena.
Leo kwa mara ya kwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka picha akiwa ni mwenye majonzi mengi,hii ndio kumaanisha ameamua kuweka hadharani siri ya kuachwa aliyoipigania kuificha kwa muda mrefu?
Habari ya kuachwa ilikolezwa na 'ubuyu' kutoka kwa shoga yake Mange wa kuitwa Killy Janga ambaye inasemekana Mange alimpigia simu huku akilia kuwa kaachwa.
Na hii ni kipindi kile aliandika kupitia blog yake kwamba yuko katika wakati mgumu "DEEP MAWAZUUUUUU"
Ushauri wangu kwako Mange [emoji105]
Huu ni wakati wa kuacha kuishi fake life,umri umekwenda sasa mama watatu.
Nasikia umefanya diet ili upate kibabu cha kizungu kikusaidie kulelea watoto huko Marekani maana mambo ni magumu kwako.
Utaishi maisha hayo mpaka lini?
Nyoosha mikono sasa na uwaombe msamaha wote uliowachafua kupitia mitandao ya kijamii na urudi nyumbani.
Bado hujachelewa,elimu unayo nzuri na kiukweli pamoja na uchizi wako ila uko njema kichwani.[emoji6]
Kama kawaida,habari hainogi bila picha.
Hivi ndivyo ilivyokuwa huko Instagram
View attachment 338351
Na hivi....
Matokeo ya diet ya mawazo ya kuachwa
View attachment 338352
and even a bigger problem with fake is that it always gets revealed by the real thing. I suppose as the universe law states 'what goes around comes around' serves her befittingly well now.The problem of being fake is that sometimes you can fake even your own image
she is divorcedWeka na wewe picha yako tulinganishe
100 percent true, kagombana almost na Kila Mtu hapa mjini,na zama hizi na Magu Sijui anafanya nini?Yaani talaka it's nothing what hurts her is coming back Bongo n face the reality , Maisha haya daahand even a bigger problem with fake is it always gets revealed by the real thing. I suppose as the universe law states 'what goes around comes around' serves her befittingly now.
Sasa Mange akirudi bongo atakua wa ajabu, ameishi USA miaka yote hiyo ashindwe kujitegemea?!100 percent true, kagombana almost na Kila Mtu hapa mjini, upstairs yuko empty na zama hizi na Magu Sijui anafanya nini?Yaani talaka it's nothing what hurts her is coming back Bongo n face the reality , Maisha haya daah
Ha ha ha!! Eti February na Riz two!!! Hafai huyu binti walahi!Teh Teh, akikujua unalo..... Ngoja wadau wake tumpelekee nyepesi za JF....
Mimi huwa napenda attacks zake.... Haangalii mtu yoyote. Punch alizozirusha kwa February & Riz two ni za heavy weight kabisa.
maisha ya USA si mchezo kama huna hela unarudi kwenu taratiiibu.. lemutuz anajua teh.. Mange Mme wake ndo alikua anampa kiburi mara kajifungulia wapi sijui, Mara anakaa kwenye nyumba ya kifahari sasa kama kamuacha kiruu ni hatariSasa Mange akirudi bongo atakua fala, ameishi USA miaka yote hiyo ashindwe kujitegemea?!
Labda Kama hawezi kusimama mwenyewe hapo sawa, kwa inchi za wenzetu mambo ya talaka nahisi bado anapata pesa toka kwa mume ya kulelea watoto, Pia nyumba wanayo bila Shaka mume ndio atahama na kumwachia mama nyumba. Pili kwa elimu yake Mange ningekua mimi natafuta kazi naishi. Bongo Kama umezoea kwenda kama mtalii alafu gafla uhamie!!!maisha ya USA si mchezo kama huna hela unarudi kwenu taratiiibu.. lemutuz anajua teh.. Mange Mme wake ndo alikua anampa kiburi mara kajifungulia wapi sijui, Mara anakaa kwenye nyumba ya kifahari sasa kama kamuacha kiruu ni hatari
Labda Kama hawezi kusimama mwenyewe hapo sawa, kwa inchi za wenzetu mambo ya talaka nahisi bado anapata pesa toka kwa mume ya kulelea watoto, Pia nyumba wanayo bila Shaka mume ndio atahama na kumwachia mama nyumba. Pili kwa elimu yake Mange ningekua mimi natafuta kazi naishi. Bongo Kama umezoea kwenda kama mtalii alafu gafla uhamie!!!