BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Hizi story za talaka bila evidence zinachosha....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema huwezi hata picha huoni?Loh hivi ni kweli kaachwa? Mi nlijua ni maneno tu ya wabaya wake. Na kuhusu huzuni ya leo sio lazima iwe ni kwaajili hiyo...yapo mengi mtu anayapitia inawezekana ni jambo jingine kabisaa
Ila hapa ni nyumbani kwako tena mwenyeji hakuwezi ila huko IG duh ungechakaa[emoji2] [emoji2]Nimkimbie wakati kapost mwenyewe mkuu?
Halafu baada ya kuona kaharibu akaifuta fastaaaa.
Aweke wazi tu,hakuna siri ya milele.
Moshi unafuka,karibuni patawaka moto.
Maisha anayoishi huko IG kwa sasa ni aibu tupu!Mi nacho mshangaa kwa nini analazimisja Maisha kama Magumu si aachane nayo tu afanye mambo mengine na hii IG inawafanya watu waishi maisha wasiyoyaweza.
Hahahahaaaa umenikumbusha MSAGA SUMU aliposema Le Mutuz na kukaa kote USA miaka 30 alijitahidi kwelikweli akasave 500$!!!Mi namkubali Le mutuz tu anasemaga ukweli kakaa mbele miaka 30 lakini maisha aliyokua anaishi kule na hapa home ni tofauti hapa kama yupo Ulaya alichoka maisha ya kuigiza hotel anayokula hapa huko Marekani hawezi kuingia wabongo wengi wana maisha ya kuunga unga huko mbele ila wanaona aibu kurudi maana hawana lolote.
Ila jamani Mwamvita ana moyo wa kipekee maana sio kwa kushambuliwa kule.Mange kazidi jamani sometimes machozi ya watu yanalaani, yani akiamua kum attack mtu anamkomalia kiasi kwamba huyo mtu asipokua strong enough anaweza jiua!! Simfahamu sana lakini kwa kufatilia namna anavyoendesha maisha yake ni kama vile ana trauma..kama anavyowashauri wenzie ni vema hata yeye angetafuta msaada hayupo sawa yule mwanamama jamani
Mimi pia sifurahii kuvunjika lakini kwa maumivu aliyowasababishia watu na ivunjike tu.Sifurahii ndoa kuvunjika, ila Mange alizidi jamani kujinadi kha! mume wake ndio mume, mzuri, tajiri anajali, ameelimika, amemzalisha watoto wazuri, loo, ikafika mahali akatukana wabongo waliolewa na wanaume weusi, eti wanaume weusi hawajui kupenda, wanyanyasaji, washenzi wa tabia? Akaja na aIDEA ya kuwasaidia wanawake wa bongo kuolewa na wazungu.. mwe... wenye akili kama zake walitiirika balaa mpaka akasema atawachaji kwa walioshindwa kutumia huo mtandao wa kujiuza, leo MZUNGU ambae kwake ndio MUME kamuacha? balaa hilo ni kubwa ndio maana kazidi kuwa chizi.. pole sana na ajifunze kuwa HUJAFA HUJAUMBIKA.
Sio wewe tu dear...though am really sorry....Nifah unakesi ya kujibu, we sio wa kunisahau kweli haya mambo
Mange ni mpenda sifa aliyetukuka.Hivi huwa anajivunia nini hasa,maana too much kuna siku alimchambua Riz moko nikabaki mdomo wazi huyu dada anategemea/jivunia nini ........
Kweli Nifah ile e-mail ndio ilileta balaa, Mange akajitahidi kujibebesha mimba akijua akiongeza mtoto mzungu hata muacha, mpaka wakawa wanamuita mwanae wa kuombea msamaha, na mwenyewe alivyo bwege akijitangaza kwenye blog yake Lance atafurahi sana nimepata faraja namuongezea kidume cha pili, maskini mzungu akakomaa tu na talak. Pole yake maisha yake aliyaweka hadharani sana, kazi anayo sasa.Ila jamani Mwamvita ana moyo wa kipekee maana sio kwa kushambuliwa kule.
Ila Mwamy huyuhuyu ndio kasababisha mabalaa yote haya ya talaka kwa kusambaza email aliyotumiwa.
Sidhani kama kuna kitu Mange anajutia kama ile email aliyomtumia Mwamy!