Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #101
Prince,umemwaga madini matupu kama kawaida yako.Princess Nifaa. Hapa ndipo watu wajifunze madara ya kuwachimbia kaburi watu wengine.
Huyu dada Amrudie Muumba wake kwa Toba Maana amechangia kuwachafua watu wengi sana na kusababisha athari kubwa juu ya watu aliowachafua.
Malipo ni hapa hapa Duniani, usifuraie mabaya ya mwenzako, bali mwombee mwenzako pindi anapopitia majaribu ya dunia, sasa huyu binti hakufanya hivi bali alichekelea na kuwapaka watu matope, haya ndiyo malipo yake.
Nawashangaa sana wanaosema hapa tusifurahie kuanguka kwake,walikuwa wapi wakati yeye alisherehekea kuanguka kwa wenzake?
Ni zamu yake sasa kuchekwa.