Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Kweli kmeumana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Matatizo ya Mange ni kupenda watu ukaribu na watu walio juu na wenye majina. Mwami alisoma Kifungilo na Sophia Byanaku, lakini bi dada aliweza kuvunja ule urafiki ili awe karibu na Mwami mtoto wa then RC.

Alimganda Mwele kwasababu mambo super na ametoka familia poa, akajipachika umama na mtoto.

Alimnyanyasa Shamim kwasababu Dar wakuja,

Kiki alichoka baada ya kuona design zake zote ndio zilianzisha bongolicious.
 
Mi nacho mshangaa kwa nini analazimisja Maisha kama Magumu si aachane nayo tu afanye mambo mengine na hii IG inawafanya watu waishi maisha wasiyoyaweza.
Arudi Kwao upande wa mama yake Lindi
 
Huyu killy janga ni yule aliyewahi kushiriki miss Tanzanian ngazi ya mkoa huko Mara?
 
Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.

Miguu kaa fito zisizo na ubora.

Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.

Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
Hahahahahah
 
Daah pole yake
Ila juzi lile li status #muke ya muzungu yaani watu bado wana mambo ya kishamba mzungu kwani hakunyi ama vipi

Kuna dada mkenya niko nae kwa class ameolewa na mzungu, sasa anategemea mtoto wao wa pili, nikamwambia hongera lakini pilika tulizonazo na ki mimba ni shida sana, nikamuuliza kwanini hukungoja umalize hii programme kwanza alinijibu kupata ujauzito ilimchukua muda sana, walikutana na jamaa walidate miaka mitano kabla ya ndoa, kwa kipindi hicho jamaa hataki mtoto, dada akawa anachoma sindano, sasa baada ya ndoa kupata ujauzito ilikuwa shughuli. Nikasema kumbe ndiyo shida mnazopata hizo, ile mipingo yetu haina complications hizo mwee!!
 
Huyo Mzungu alirogwa vby sana na mganga qa Chanika mpaka akatangaza ndoa. Alimuoa Mange kwa madawa haikuwa akili zake. Unaambiwa kwa huyo mganga kumejaa picha za wazungu.
 
Back
Top Bottom