Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Huyo Mzungu alirogwa vby sana na mganga qa Chanika mpaka akatangaza ndoa. Alimuoa Mange kwa madawa haikuwa akili zake. Unaambiwa kwa huyo mganga kumejaa picha za wazungu.
Chimbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mzungu alirogwa vby sana na mganga qa Chanika mpaka akatangaza ndoa. Alimuoa Mange kwa madawa haikuwa akili zake. Unaambiwa kwa huyo mganga kumejaa picha za wazungu.
kama maisha magumu aachane nayo? DuhMi nacho mshangaa kwa nini analazimisja Maisha kama Magumu si aachane nayo tu afanye mambo mengine na hii IG inawafanya watu waishi maisha wasiyoyaweza.
Cybercrime law inambana..Kuishi Tz atapata tabu sana..Anaweza kukonda bila hata kufanya diet..Mana huyu akikaa bila ya kuwachamba watu anaumwaHahahahaaaa
Sasa hivi yuko na option ya kupata kibabu cha kizungu kimsaidie kulea watoto.
Hebu tusubiri kama hii ikifeli....huenda akarejea.
Mwenzangu sio kwa chupi zile za ukoko.
Nilicheka wiki nzima!
Hahahahaaaa
Hahahahaaaa hili la kurudi na dola 500 sio kweli jamani,khaaaaa!Haaa haaa mkuu USA sio kama Bongo, hakuna Magumashi wala kubebwa kule, we unafikiri kwanini Lemutuz alirudi na dola 500?Pia ameishi USA miaka mingapi na alikuwa anafanya nini?Yeye ni mama wa Nyumbani , mama wa nyumabni anakuwa anafanya nini?Labda ategemee mgao wa Talaka je jamaa ana hela gani?
Mwenzangu!!!!natamani kufahamu kama ule mtaa anaokaa kuna mtu mweusi aliyeongezeka....maana mtaa wa matajiri ambao hauna ngozi nyeusi atiii
Thubutu yake...shoga ana crop ile internationale yani wakuda tunashindwa hata kuongeza imagination zetu kwa mbele! Lakini wacha tu acrop mana kwa misakafu ile iliopasuka pasuka ya mwaka 47 waiii hata kwetu sitimbi kuna hadhi sio kwa mipasuko ile... akajambe mbele(in her voice[emoji3] )Mwenzangu!!!!
Ila Mange ana mashauzi yule sijapata ona.
Eti mtaa mzima yeye tu ndio mweusi!
Hivi wewe mara ya mwisho kuona picha aliyopiga akiwa nyumbani kwake ni lini?