Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

kama ni kweli Mange kaachika kuna watakaofanya sherehe. huyu dada amedhalilisha watu wengi mno mitandaoni jamani. Viongozi, watu wa kawaida na kadhalika. Akirudi bongo huyu wallahi watamdaka, hata kwa kumsingizia kesi. hafai katika jamii. muda mwingi yuko mitandaoni kudhalilisha watu, kuwatukana kupita maelezo. hata kama una data, kuna kiwango jamani. maisha ya ajabu uliyopata wakati unakua yasikufanye umalizie hasira wasiohusika.
anapenda malumbano na wivu uliopitiliza. ukitaka kumkomesha, usijibizane nae. Alimchokonoa sana Zari wa Diamond, lakini Zari akawa kimya akabaki na aibu. ndio dawa ya huyu kichaa wa kipare.
Kwani mange amepitia magumu gani hasa mpaka kuwa hivi alivyo?
 
Thubutu yake...shoga ana crop ile internationale yani wakuda tunashindwa hata kuongeza imagination zetu kwa mbele! Lakini wacha tu acrop mana kwa misakafu ile iliopasuka pasuka ya mwaka 47 waiii hata kwetu sitimbi kuna hadhi sio kwa mipasuko ile... akajambe mbele(in her voice[emoji3] )
Hahahahaaaa katika picha inayonichekeshaga jamani ni ile ya Mange akiwa kavaa dira huku kapakata laptop uwani kwake.
Nachekaga sana kila nikiiona,ile ndio LA yenyewe ilivyo jamani?
Mhhhhhhh!
 
Huyo Mzungu alirogwa vby sana na mganga qa Chanika mpaka akatangaza ndoa. Alimuoa Mange kwa madawa haikuwa akili zake. Unaambiwa kwa huyo mganga kumejaa picha za wazungu.
Uwiiiiii jamani Mange huyu?
Ila Lance ile issue ya e-mail ilimchanganya sana.
Anaonekana alimpenda Mange masikini!
Maana alianza kutokujijali muda sana.
Yule kaka mwanzo alikuwaga smart hadi raha.
Lakini sasa hivi ukimuona kama mzungu pori,ile midevu khaaaaa!
 
Mhh namuonea tu huruma aiseh maana kurudi bongo haiwezekani maana wauza unga wata mpiga risasi za tako.
Unakumbuka alivyofanikiwa kurudi Marekani baada ya makasheshe yale alivyotukana?
Akasema hatokaa arudi milele.
Na akirudi tu,kwisha habari yake.
 
Mange hapo alichemsha kwa kweli,unamwaminije mtu kiasi hicho mpaka unamtumia email ya hivyo?
Email Gani??au ndoo Maana Mange ana Bifu Kali Na Mwanvitaa..kumbukaa Alipomaliza Chuo Dubai Mwanvita alikuwa Bega to Bega Mange..What happened..tunaombenj ubuyu Wanawake Wa Dar....Maana Ubuyuu mtamu pilipilii kwa Mbali.I used to.like Mange kiukweli..but Baada ya Mashambulizi kwa Lowassa kipindi kile nilimtapikaaa
 
Hahahahaaaa katika picha inayonichekeshaga jamani ni ile ya Mange akiwa kavaa dira huku kapakata laptop uwani kwake.
Nachekaga sana kila nikiiona,ile ndio LA yenyewe ilivyo jamani?
Mhhhhhhh!
Shoga hata mimi ile LA inanikatishaga mno tamaa pale migombani utadhani kijijini kwao KAHE khaa ndo mana hayupo huru kutuonyesha
Yule angewin bingo la Klinn wa Mengi tungerudi vijijini kwa usafiri wa chai maarage mana yule kutumia pesa ana qualified certificate sema midolare ndo hana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Email Gani??au ndoo Maana Mange ana Bifu Kali Na Mwanvitaa..kumbukaa Alipomaliza Chuo Dubai Mwanvita alikuwa Bega to Bega Mange..What happened..tunaombenj ubuyu Wanawake Wa Dar....Maana Ubuyuu mtamu pilipilii kwa Mbali.I used to.like Mange kiukweli..but Baada ya Mashambulizi kwa Lowassa kipindi kile nilimtapikaaa
Ni kama alivyoelezea mwasu na nimeona umelike.
E-mail iliyovuruga maisha ya Mange,Mwamy mbaya?
Ila hii vita ilikuwa motooo,siri zilivuja nyingi sana.
Bora wewe uliyemtapika,mimi nilitamani nikamlipue na bomu.
 
Da Zenat alikuwa na usongo wa pesa zake, kumbe alikuwa anapiga picha chupi. IG ilinimazia sana bundle!!!!
Da zenat si alikuwa ka Dada ake VP tena waligombanaa tena. Anagombana Na kila.MTU tena Wa karibu yakee wotee kweli Awekwe kwenye Genius Book or Black book
 
Shoga hata mimi ile LA inanikatishaga mno tamaa pale migombani utadhani kijijini kwao KAHE khaa ndo mana hayupo huru kutuonyesha
Yule angewin bingo la Klinn wa Mengi tungerudi vijijini kwa usafiri wa chai maarage mana yule kutumia pesa ana qualified certificate sema midolare ndo hana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yule atakuwa haishi LA,nina mashaka sana.
Halafu mbona siku hizi hapigi picha akiwa nyumbani?
Muda wote yuko barabarani na kwa watu.
Weeeeee tungeshajitoa IG,tungekomaje?
Ila K-Lyn walaaa,busy na kuinspire wadada masikini.
Na alivyo mzuri sasa!
 
Hapo tu sithubutu kumcheka.
Hata kama niko nyuma ya keyboard lakini ukweli utabaki kuwa nami ni mwembamba japo Mange wa sasa kanizidi.
Hahaha... nifah una kilo kama ngapi vile... maana mange ana 55

Najua hautonijibu..
 
Matatizo ya Mange ni kupenda watu ukaribu na watu walio juu na wenye majina. Mwami alisoma Kifungilo na Sophia Byanaku, lakini bi dada aliweza kuvunja ule urafiki ili awe karibu na Mwami mtoto wa then RC.

Alimganda Mwele kwasababu mambo super na ametoka familia poa, akajipachika umama na mtoto.

Alimnyanyasa Shamim kwasababu Dar wakuja,

Kiki alichoka baada ya kuona design zake zote ndio zilianzisha bongolicious.
Hapo kwa Mwele umekosea kidogo..mwelee alikuwa mke Wa baba ake Mange..so ni mama mdogo
 
Uwiiiiii jamani Mange huyu?
Ila Lance ile issue ya e-mail ilimchanganya sana.
Anaonekana alimpenda Mange masikini!
Maana alianza kutokujijali muda sana.
Yule kaka mwanzo alikuwaga smart hadi raha.
Lakini sasa hivi ukimuona kama mzungu pori,ile midevu khaaaaa!
Nifah, ebu tupia hiyo email,naona nilipitwa hapo.
 
Hahaha... nifah una kilo kama ngapi vile... maana mange ana 55

Najua hautonijibu..
Mhhhhhh chaumbea ushafika?
Last time napima nilikuwa na 55 na ilikuwa miezi minne iliyopita.
Kwa sasa nimeongezeka,nitakuwa na 57/8.
Nadhani nimekujibu vyema.
 
Mhhhhhh chaumbea ushafika?
Last time napima nilikuwa na 55 na ilikuwa miezi minne iliyopita.
Kwa sasa nimeongezeka,nitakuwa na 57/8.
Nadhani nimekujibu vyema.
Haha.. asante nifah wangu
 
Back
Top Bottom