Huyu Mange ni zao la nje ya ndoa, mama ake alipewa mimba na mzee kimambi akazaliwa na kulelewa huko uswazi maisha ya kuunga unga, alipofikisha umri wa shule ndio babake akamchukua ili akae nae asome, sasa zile tabia za kiswazi akawa na kiburi kwa mamake wa kambo mama nae akawa anamrekebisha kwa nguvu, mwisho akawa akienda shule anaishia njiani hataki shule anacheza tu mtaani, hii ni kwa mujibu wake mwenyewe babake ndio alipopata taarifa akampeleka Arusha school boarding na ndipo alipo malizia elimu ya msingi, maisha ya kutoka mlo mmoja kuja kukuta mboga saba ndio yakamfanya awe limbukeni kupindukia mpaka kuwakan ndugu wote wa uzao wa mama ake kisa wa uswazi.