Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Ila jamani Mwamvita ana moyo wa kipekee maana sio kwa kushambuliwa kule.
Ila Mwamy huyuhuyu ndio kasababisha mabalaa yote haya ya talaka kwa kusambaza email aliyotumiwa.
Sidhani kama kuna kitu Mange anajutia kama ile email aliyomtumia Mwamy!
Mwamy alimkomesha..Nifah Mange kichomi ati!! Yule ni jambazi sugu la movie ya kijasusi akikuwahi anakuattack kiasi kwamba kabla hujakata roho inakua hamna rangi umeacha ona ha ha haaaa muosha huoshwa
 
Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.

Miguu kaa fito zisizo na ubora.

Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.

Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
Hahahahaaa Faiza you made my day....kumbe nawe wamo namna hii?
Asante.
 
Mange hapo alichemsha kwa kweli,unamwaminije mtu kiasi hicho mpaka unamtumia email ya hivyo?
Ulimbukeni wake wa kupenda sifa.
Mwisho e-mail hiyo imemvurugia maisha yake yote.
 
Ila jamani Mwamvita ana moyo wa kipekee maana sio kwa kushambuliwa kule.
Ila Mwamy huyuhuyu ndio kasababisha mabalaa yote haya ya talaka kwa kusambaza email aliyotumiwa.
Sidhani kama kuna kitu Mange anajutia kama ile email aliyomtumia Mwamy!

Ile ilikuwa kama mbwai mbwai, ile email ya kuomba pesa za campaign kwa watu wa mgodini wakiahidiwa kaka atakuwa waziri wa madini na nishati haikuwa imekaa fresh.
 
Ahaaaa haaaa haaaa deep mawazuuu na bado
. Niffah ulipotea jamani hadi nikapatwa deep mawazuuu na mimi. Da Jane yuko wapi sijui.
 
Mange alipokwenda US alipanda Emirates picha zikawekwa kwa blog, akaanza home hunting picha kwa blog, alipopata nyumba Miami hatukuonyeeshwa, tulionyeshwa duka la Bongolicious. Nikaenda Miami kutembelea ndugu na jamaa nikawa ninawapa story kuna mbongo ameolewa na mzungu mambo yake yako super sana, nyumba yake ina swimming pool, sasa vihela vyangu vya budget nikapelekwa Ross na TJ Max basi nikawa ninawaambia haya ndiyo maduka Mange anasema ya masikini. Kichwapaziii na Da Zenat wakatuonyesha uhalisia wa maisha!!! Mwe mjini sihami.
 
Dada ulipokuwa South Beach ulionekana ukifanya shopping Neyman Marcus na Bloomingdales
TJ Maxx Ni Ya sisi makabwela
 
Jamani,naomba tuwe tunaheshimiana.
Watu kama nyie ndio mnaovunja ndoa za watu.
Mimi kusema humu kuwa nakaa ubungo kipindi kile cha kampeni isiwe sababu ya kujidai unanijua sana.
Na wala hakuna mwanaJF yeyote anayepajua kwangu,usiniletee balaa.

Ha ha ha, leo unapakataa kwako, Ubungo Maziwa, nyumba ya uwani hapa kama unakata kona la kwenda kwenye Kiwanda cha Kibuku!
 
Cku zote ndoa ya showoff huwa haidumu na mwisho wke huwa mbaya......huyo dada atafute babu wa kulea huko mana kurudi huku hawezi
 
Back
Top Bottom