Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.

Miguu kaa fito zisizo na ubora.

Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.

Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
 
Tuacheni utani, huyo binti kwenye picha ndio huyo Mange mwenyewe au ni picha tu? Nifah please
Nimetamani sana nijue kiini cha hili swali kabla sijakujibu.....
Naam,ndiye.
Haya niambie kwanini?
 
Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.

Miguu kaa fito zisizo na ubora.

Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.

Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
Hahaaaaaaa, mwanamke wa maana angekuwa na tabia mbovu vile?! huyu hata sijui ni kipi cha maana kwake maana kashindwa kabisa hata kutulia mwanamke alitoka uzazi hata 40 bado huyo anaburuza kitoto eti anaenda kufanya shopping?! haa.. bado kutukana watoto wa wenzake hawana akili kisa Bokhe wake amefaulu kuliko wa fulani.. Tabia zake zinatosha kumdadavua.
 
Maisha anayoishi huko IG kwa sasa ni aibu tupu!
Sio Mange yule wa mashauzi.
Sasa hivi anavaa nguo za mwanae!
Out anazotoka na wanae sio out sio wazimu.
Shida zote za nini?
Maisha anayoishi huko IG kwa sasa ni aibu tupu!
Sio Mange yule wa mashauzi.
Sasa hivi anavaa nguo za mwanae!
Out anazotoka na wanae sio out sio wazimu.
Shida zote za nini?

chaaaaa sasa huyo mwanae nguo si kamnunulia yeye hebu acha chuki mwanamke
 
Loh hivi ni kweli kaachwa? Mi nlijua ni maneno tu ya wabaya wake. Na kuhusu huzuni ya leo sio lazima iwe ni kwaajili hiyo...yapo mengi mtu anayapitia inawezekana ni jambo jingine kabisaa
Hata mie nilijua uzushi, dah..maskini,kwann mzungu kamuachaa??namuonea huruma,naona wabaya wake wanashangiliaje..
 
Malipo hapa hapa duniani Mbinguni mahesabu.

Wanasemaga laana ya Mama tu sio kweli, mtu yoyote uliyemuumiza kwa njia yoyote akiumia juu yako haiendi bure.

Maadui wanagongaje grasi huko waliko, nimemuona Linda anamfollow kichwa panzi.
Wewe umeona anamfollow wakati kila post anacomment?
Kichwapanzi ndio kiboko ya Mange.
Mange ana wakati mgumu sana,angemjua Kichwapanzi angeshamlipua!
Hahahahaa
 
Mi nashangaa hata wazungu wanaacha wanawake!
Hata mimi nashangaa mzungu kumuoa mwanamke mswahili kama Mange.
Ana elimu nzuri lakini hana anachojishughulisha nacho.
Ati mama wa nyumbani,tena Marekani!
Kila biashara anayojaribu inakufa sababu ya kutukana kwake watu,atamnunuza nani?
 
shost bado uko ubungo hali ya hewa dar siyo powa kwangu
Jamani,naomba tuwe tunaheshimiana.
Watu kama nyie ndio mnaovunja ndoa za watu.
Mimi kusema humu kuwa nakaa ubungo kipindi kile cha kampeni isiwe sababu ya kujidai unanijua sana.
Na wala hakuna mwanaJF yeyote anayepajua kwangu,usiniletee balaa.
 
Ila jamani Mwamvita ana moyo wa kipekee maana sio kwa kushambuliwa kule.
Ila Mwamy huyuhuyu ndio kasababisha mabalaa yote haya ya talaka kwa kusambaza email aliyotumiwa.
Sidhani kama kuna kitu Mange anajutia kama ile email aliyomtumia Mwamy!
Mange hapo alichemsha kwa kweli,unamwaminije mtu kiasi hicho mpaka unamtumia email ya hivyo?
 
Kweli Nifah ile e-mail ndio ilileta balaa, Mange akajitahidi kujibebesha mimba akijua akiongeza mtoto mzungu hata muacha, mpaka wakawa wanamuita mwanae wa kuombea msamaha, na mwenyewe alivyo bwege akijitangaza kwenye blog yake Lance atafurahi sana nimepata faraja namuongezea kidume cha pili, maskini mzungu akakomaa tu na talak. Pole yake maisha yake aliyaweka hadharani sana, kazi anayo sasa.
Email ipi wangu,ilkuwa inahusu nini?!
 
Email ipi wangu,ilkuwa inahusu nini?!
Ilikuwa ni mchapo anampa mwenzake mwamvita makamba, jinsi alivyo enjoy wakati anachepuka na boyfriend wake wa zamani kabla ya ndoa na mzungu wake, so called Albert jinsi alivyo mfikisha ikabaki nusu tu ampe TIGO, alimwambia walahi vile tu wamekuta tena wote wako kwenye ndoa bila hivyo... halafu anataka kumuacha mume mambo yake kifedha yakiwa safi, eti hampendi hata unyumba hampi miezi hata 4 mpaka mzungu wa watu alalamike wee, ndio anampa lakini huo mchepuko ndio unamfikishaaa, mambo yake yakiwa fiti anasepaaa, sasa ikavuja mzungu kaiona..ikala kwake,
 
Email ipi wangu,ilkuwa inahusu nini?!
Uwiiiiiii jamani shogangu nimekuoneaje huruma?
Umepitwa na bonge la ubuyu!
Sijui hata nikusaidie vipi uipate hiyo e-mail, hutoamini macho yako.
Jamani mnaoweza kumuwekea huyu kipenzi e-mail kutoka kwa Mange kwenda kwa shogake Mwamy amuwekee.
 
Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.

Miguu kaa fito zisizo na ubora.

Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.

Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
Eti Kifaiza cha Sugu sio ki FaizaFoxy?
 
Mange kuishi Tz hiyo itakuwa option yake ya mwisho kabisa baada ya zote kufeli
Hahahahaaaa
Sasa hivi yuko na option ya kupata kibabu cha kizungu kimsaidie kulea watoto.
Hebu tusubiri kama hii ikifeli....huenda akarejea.
 
100 percent true, kagombana almost na Kila Mtu hapa mjini, upstairs yuko empty na zama hizi na Magu Sijui anafanya nini?Yaani talaka it's nothing what hurts her is coming back Bongo n face the reality , Maisha haya daah
Hapana jamani.
Kweli Mange anakera sometimes ila kichwani yumo.
Ni huo upumbavu wake tu lakini akituliza kichwa anakuwaga na hoja zake za msingi sana.
Ila ndio hivyo,hataki kutumia akili yake kufanyia maendeleo,kachagua majungu.
 
nampenda sana mange kimambi....wewe Nifah utakua una wivu na maisha yake...hata akiachika wewe inakuhusu nini ambae ata mchumba huna😀🙂
My dear,nimekukataza usimpende?
Ni wapi nilikosema namchukia?
Halafu usinifanishe na Mange ambaye kanizidi kwa miaka 10.
Maisha yake acha yajadiliwe,kayataka mwenyewe.
Kama asingepost ningeyapatia wapi?
 
Teh Teh, akikujua unalo..... Ngoja wadau wake tumpelekee nyepesi za JF....
Mimi huwa napenda attacks zake.... Haangalii mtu yoyote. Punch alizozirusha kwa February & Riz two ni za heavy weight kabisa.
Nifah mama huyu mpare labda asikusome maana daaa naogopa mdomo wake jaman,maana atakusanya data cjui wapi atakuchamba huyooooo
Teh teh ehee! Mange sio wa kumchokoza kwa kiwango hiki we Nifa...atakucharua hadi ujute
Hebu acheni kumuogopa huyo mtu na afanye hivyo basi.
Halafu mbona nimeandika kiustaarabu sana jamani?
Ni wapi nilikomsema vibaya?
 
Back
Top Bottom