Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #401
Mange ana face a/c nyingi sana.Mange buana, wanaomuaminigi wana kazi aiseeee! Sijawahi kumfollow ila nashangaa siku hizi nikienda kwenye acc yake inaonesha kama ameniblock na nikimfoll haikubali!
Hahaaa watu wakirepost post zake huwa tu nacheka maana anavyojitutumua duuu hongera zake. Ila kichwapanzi anamnyoosha haswaa
Ukicomment kwa Kichwapanzi au Da Zenat anakuona kwa fekero anaenda kukublock kwake.
Mimi nilishamshtukia,game zangu ziko smart...
Nawasoma wote kiulaiiiiiini.