Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili kwangu jipya ....natamani ufunguke zaidi[emoji12]Arudiane na mumewe dalali wa tandale sokoni kabla hajaanza kulala kwenye mapipa ya taka marekan
Hadi mange majanga had mama ndindiiiiHebu google "waliopitiwa na Kamanda Amatus Liumba" utakutana na Mange huko
Hapo pa mama ndindindiiiii pameniuma!Hadi mange majanga had mama ndindiiii
Wewe ni?!?!?!?!Eti thread za umbea kama hizi utakuta na midume inachangia!!
Ana mdomo mrefu kumbe mtu mwenyewe hatingishi hapepesi.
Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches
kuntuuuu bibi[emoji108]kuna wanawake wa kipare wastaarabu wenye tabia njema wanaojua uthamani wa lika mtu na wana hekima na utu, mwanamke kama huyo huwezi kumuacha, ila kwa tabia zako kwa kweli hata mbwa huwezi huishi nae banda moja atakuchoka tu, una watoto watatu, maisha feki ya kwenye mitandao ya nini mama? kaa lea watoto ebooo? huo muda wa kukaa kutukana watu na kufatilia maisha ya watu unapata wapi?huoni unajishushia heshima mama yangu? i feel sorry for you pengine kuna laana inakusumbua na itakufatilia wewe na kizazi chako tunaikemea kwa Jina la Yesu, usione watu wanakaa kimya mange, peole knows you more that you think na wakiamua kuyafichua ya kwako sijui utaficha wapi uso wako,jitafakari na ujiongeze, unazeeka sasa busara ikutawale, hayo mambo ya kutukana kwenye mitandao waachie watoto wadogo kizee wewe
Yote umeongea lakini ya miguu siku support. hayo ni maumbile ya mtu na mtu hachagui kua alivyo. hata wewe nina imani ungeambiwa kuchagua ungekua tofauti na ulivyo. urembo wingine sawa lakini maumbile ya mtu tuachane nayo maana hujafa hujaumbika.Porojo zoooote nilizokuwa nazisoma kuhusu huyu Mange kumbe ni mrembo feki! Nywele za maiti, kope za maiti, rangi ya mwili mikorogo, sura imejaa wa ma foundation kama gari chakavu lililojazwa puti.
Miguu kaa fito zisizo na ubora.
Kuwa feki namna hiyo na kuwasema sema wenzake hata hai contrast.
Mie nilifikiri ni mwanamke wa maana kumbe kimekaa kama ki Faiza cha Sugu.!
Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches
charty kumbe aliku block hahaaa hata mie naona hata mawaziri wake choka mbaya aisee akisifiwa na wasiojielewa anajiona kafika. Shamimu huwa hamtoki mdomoni wenzako wako vumbini lakini wa me progress shammy aendesha had range mchezo kwani while wahesabiwa chips na mzungu had kuitwa blood m..... Charty pole yani corset za kichina alikua anadaganya za USA wakati kariakoo zikko cheap. Bibie kaombewe roho LA rejection likutoke tu aisee utachanganyikiwa na maisha ya nje stress utazeeka with nothing to show
Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches
Hahahaaaa nampenda Mange jamani....anawaumiza watu vichwa
Leo ndio mmejikusaaanya mkaona mje kuicheza ngoma mwishoni....Watu mnatamani kweli huyu dada aachwe, aisee kwanini mnapenda kujipa stress sana? Kama huyo kichwapanzi hadi anatia huruma, huwa najiuliza do these people have a life??? Yani kama kichaa