Wewe unaongelea hizo picha za zamani?Ukipenda maisha ya juu kubali kupopolewa.Alipenda sana maisha ya ki posh spice. Sasa anaumbuka.kwa hizo picha chache nimejua kama huyu mama ni mchafu mno.pampers imezagaa,kwapa jeuuuusiii mmmh mola nistiri.maisha ya kisupanyota sitaki ng'oooo
chimbo limetema finalyNaona instagram kumechafuka, watu wamefukunyua mpaka wamepata file lake huyu dada la kesi ya ku-dissolve marriage filed on June 6th 2016.
Nataka aje akanushe na hili....View attachment 359778 Divorce finally
Kichwapanzi kiboko yake.yaani huyu mwanamke ni beast...
Duuuh kuna watu waliinusa hii since two years ago hatimaye ukweli upo nje duuuh ngoja aje kutoa povuView attachment 359778 Divorce finally
Duuuh kuna watu waliinusa hii since two years ago hatimaye ukweli upo nje duuuh ngoja aje kutoa povu
Hamnakitu kibaya kama machozi ya mnyonge...yaani kawaliza watu wengi kweli.malipo hapahapa.Hivi hapo unakanusha nini sasa? Maana watu wamelipia kuingia hiyo website kumuumbua alisema hawezi achwa yeye ana pussy power yule mwanamke ni kuliko mwendawazimu! Sasa tuone kama atarudi Bongo au ataanza kubeba box hapa marekani, Sina sympathy na huyu mwanamke kawatukana watu Sana.
Hata vibabu hapati nakwambia...yaani ataishi maisha ya taabu.Hao wabongo ndo asahau.alijishau wanaume wa kibongo siwataki. ..akakimbilia wazungu...sasa wazungu wenyewe wameandika divorce.Jamani wanaume wa Bongo Mke huyo hahahaa! Huyu namtabiria ataishia kwa vibabu vya kizungu Hakuna mwanamme wa kitanzania anaweza oa takataka hiyo.
Well said...Jamani Mange nahisi in kati ya wanawake wanaoishi maisha magumu sanaaaaa duniani sema muonekano wa nje unaficha Mengi lakini moyoni amebeba Mengi..mtu wa kawaida ukikosana na mtu mmoja unakosa amani unatamani muombane msamaha yaishe ..sasa yeye anayechukiwa na watu wengi anaishi maisha gani anaombewa mpaka mabaya yamkute mwisho wake usiwe mwema..laita ingekuwa moyo unafunguka ungekuta moyo wake unalia machozi ya damu ya majutooo..
Jamani Mange nahisi in kati ya wanawake wanaoishi maisha magumu sanaaaaa duniani sema muonekano wa nje unaficha Mengi lakini moyoni amebeba Mengi..mtu wa kawaida ukikosana na mtu mmoja unakosa amani unatamani muombane msamaha yaishe ..sasa yeye anayechukiwa na watu wengi anaishi maisha gani anaombewa mpaka mabaya yamkute mwisho wake usiwe mwema..laita ingekuwa moyo unafunguka ungekuta moyo wake unalia machozi ya damu ya majutooo..