Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #521
Wewe unaongelea hizo picha za zamani?Ukipenda maisha ya juu kubali kupopolewa.Alipenda sana maisha ya ki posh spice. Sasa anaumbuka.kwa hizo picha chache nimejua kama huyu mama ni mchafu mno.pampers imezagaa,kwapa jeuuuusiii mmmh mola nistiri.maisha ya kisupanyota sitaki ng'oooo
Ungeona anazoweka katika page yake ya IG....mbona utachoka?