Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Malipo hapa hapa duniani Mbinguni mahesabu.

Wanasemaga laana ya Mama tu sio kweli, mtu yoyote uliyemuumiza kwa njia yoyote akiumia juu yako haiendi bure.

Maadui wanagongaje grasi huko waliko, nimemuona Linda anamfollow kichwa panzi.
 

Mi nashangaa hata wazungu wanaacha wanawake!
 
Hahahahaaa Mange kafuta ile picha anayolia jamani!
Nani alikuambia upost?
Si umesema sio vibaya kushare huzuni zako kama unavyoshare ukiwa na furaha?
Wambea tulishanyaka screenshots zamaaaaani,pole!
Stress zitakuua mama,rudi nyumbani tu.
Na hili ndilo tatizo linalomfanya Mange awe na hasira na watu, maisha yake kila siku anataka kuuaminisha uma ni ya furaha tu, kwake hakuna maumivu, matokeo yake anakosa wa kumpa ushauri, kumtia faraja anabaki kutukana tu mitandaoni akifikiri anapunguza machungu. Kwani akikiri kaumizwa na kitu fulani akaomba ushauri itamgharimu nini wakti hana lolote afanyalo useme atapata hasara?! Huyu atakuwa na hasira za babake, badala ya kutafuta ufumbuzi unajiua. Abadilike.
 
Mi nacho mshangaa kwa nini analazimisja Maisha kama Magumu si aachane nayo tu afanye mambo mengine na hii IG inawafanya watu waishi maisha wasiyoyaweza.
Mateso ya kujitakia; anapambana na so called maadui zake kuwaonyesha kuwa mambo yamewanyookea. Maisha yalikuwa enzi zetu aisee, wa Changombe tujajirusha kivyetu, wa Magomeni kivyao, Upanga hali kadhalika. Sana sana mtakutana Coco Beach na Disco la Mawingu. IG imewapumbaza kweli si uwongo
 
shost bado uko ubungo hali ya hewa dar siyo powa kwangu
 
The problem of being fake is that sometimes you can fake even your own image
 
and even a bigger problem with fake is it always gets revealed by the real thing. I suppose as the universe law states 'what goes around comes around' serves her befittingly now.
100 percent true, kagombana almost na Kila Mtu hapa mjini,na zama hizi na Magu Sijui anafanya nini?Yaani talaka it's nothing what hurts her is coming back Bongo n face the reality , Maisha haya daah
 
100 percent true, kagombana almost na Kila Mtu hapa mjini, upstairs yuko empty na zama hizi na Magu Sijui anafanya nini?Yaani talaka it's nothing what hurts her is coming back Bongo n face the reality , Maisha haya daah
Sasa Mange akirudi bongo atakua wa ajabu, ameishi USA miaka yote hiyo ashindwe kujitegemea?!
 
Teh Teh, akikujua unalo..... Ngoja wadau wake tumpelekee nyepesi za JF....
Mimi huwa napenda attacks zake.... Haangalii mtu yoyote. Punch alizozirusha kwa February & Riz two ni za heavy weight kabisa.
Ha ha ha!! Eti February na Riz two!!! Hafai huyu binti walahi!
 
Sasa Mange akirudi bongo atakua fala, ameishi USA miaka yote hiyo ashindwe kujitegemea?!
maisha ya USA si mchezo kama huna hela unarudi kwenu taratiiibu.. lemutuz anajua teh.. Mange Mme wake ndo alikua anampa kiburi mara kajifungulia wapi sijui, Mara anakaa kwenye nyumba ya kifahari sasa kama kamuacha kiruu ni hatari
 
maisha ya USA si mchezo kama huna hela unarudi kwenu taratiiibu.. lemutuz anajua teh.. Mange Mme wake ndo alikua anampa kiburi mara kajifungulia wapi sijui, Mara anakaa kwenye nyumba ya kifahari sasa kama kamuacha kiruu ni hatari
Labda Kama hawezi kusimama mwenyewe hapo sawa, kwa inchi za wenzetu mambo ya talaka nahisi bado anapata pesa toka kwa mume ya kulelea watoto, Pia nyumba wanayo bila Shaka mume ndio atahama na kumwachia mama nyumba. Pili kwa elimu yake Mange ningekua mimi natafuta kazi naishi. Bongo Kama umezoea kwenda kama mtalii alafu gafla uhamie!!!
 
yeah its true but life won't be the same again.. hata ningekua Mimi ningetafuta kazi unajishusha tuuu sema kwa jeuri za mange sijuiiii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…