Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
Aiseee ni bonge la moja la soo pale baba mtoto anaposide na haters wako.uchungu na joto hasira vinazidi mara mbiliNa nyumba yenyewe sio yao ni ya kupanga, mzungu kashafunguka ha ha ha kaziii kwelikweli.
Aiseee ni bonge la moja la soo pale baba mtoto anaposide na haters wako.uchungu na joto hasira vinazidi mara mbili
Haaa haaa eti akina Fundi Bakari..Alipata hela za nyumba ya marehemu babake ilikuwa Kinondoni Dr Mwele alimpigia debe Sana angalau apate kidogo basi ndio kufika marekani akanunua Cayenne na kufungua biashara ya Bongolicious akawa anawashonesha kina fundi Bakari wa kinondonimwisho wa siku wakagombana alishindwa kkuwalipa, unaambiwa alifika marekani akaenda mall kununua viatu pairs Kama 4 za Kama $1,000 kila kiatu hahaha hela alipata Kama millions 50 ziliisha biashara zikaanza kufa
mine talaka kitu kingine mamaaa!!Nenda insta account ya kichwapanziiii,utaona yaani mpaka huruma au ingia account ya mapya 2 ,from there utaona kapost account ya kichwapanzii,uingie, jamani mpaka huruma, mange nilijua ni bonge la mgumu, kumbe hamna kitu
Hata kama ndo uwape information zote haters?maana alipublish mpaka chats zake na mmewe,tena mimi ndo ningekuwa yeye,ningesema photoshop ,ningesema mahaters wamafoji tu,maana Mange alimwagika balaa,mpaka anamtuhumu mme wake yupo upande mmoja na kina kichwapanzi,yaani hapa ndo pabaya zaidi,mzungu nae zoba tu,yaani sijui kina kichwapanzi wamemdanganya nini mpaka kawapa document ya kufile talaka,dah balaa tupumine talaka kitu kingine mamaaa!!
kuachwa kunauma bwanaa!!
yaaah the power of pussy!!Power of pussy 😛
hhhahhhaaaaahhhhhaaaa!Mpenzi Ayanda,tutaonana baada ya Iftar...
Ni rrrrrraaaaaahaaaa!
Uwiiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huezi jua maana kitanda usicholalia hujui kunguni wake!Umeshawahi kumchoka mtu wewe??? Hugo inaitwa kafie mbele, mzungu ndio anatoa data zooote. Atakoma mwaka huu
ht mi nlichoka yule baba kutoa info zote!hakua na jinsi zaid ya kua mkweli maana yule mmewe huez jua amemchoka kias gani!!!mpk anatoa ma evidences yote!!na mange hakua na jinsi akahis akisema atapata relief number daah! but madame ile kitu ile juz nasoma mwnyw nilichoka alivyokubali yaani!!Hata kama ndo uwape information zote haters?maana alipublish mpaka chats zake na mmewe,tena mimi ndo ningekuwa yeye,ningesema photoshop ,ningesema mahaters wamafoji tu,maana Mange alimwagika balaa,mpaka anamtuhumu mme wake yupo upande mmoja na kina kichwapanzi,yaani hapa ndo pabaya zaidi,mzungu nae zoba tu,yaani sijui kina kichwapanzi wamemdanganya nini mpaka kawapa document ya kufile talaka,dah balaa tupu
He kwa nini iliuzwa?🙄Nyumba ya Mange ilishauzwa tangu mwezi wa 4 labda sasa wako hotelini
Hii ndio nyumba aliyokuwa anasema hakuna mbongo huko USA anaweza kuwa na nyumba kama hii??🙄Nyumba ya Mange ilishauzwa tangu mwezi wa 4 labda sasa wako hotelini
Hii ndio nyumba aliyokuwa anasema hakuna mbongo huko USA anaweza kuwa na nyumba kama hii??
ifungua file ilo apo chini