Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Si alikua anasema kua mmewe anafurahia kua anavyoongelewa sasa imekuwajee,,,sasa alikua anamsema zari zamu yake imefika ahhaah,,jamani tuleteeni umbea hukuu
mwenzangu! mie hapa hoi nikikumbuka juzi tu katoka kutuaminisha kwamba mumewe anafurahi kuona mkewe kumbe ni selebriti! sijui kama ntakuja kuamini chochote atakachosema haa haa haa
nilianza kumuona kichwa mzushi hasa pale alipokuwa anatupia video anamkatikia mzungu mauno...sijui mzungu mwenyewe harespond khaa!
 
Mweee...huyu demu yuko poa sana,....ila Mange bana ukimzingua anakupa kubwa..
 
Mange ni wa kawaida sana na yuko poa sana kama watu wengine, ila ukimchokoa kidogo tu, hasa uhusishe familia yake au kifo cha baba yake... atakumaliza mpaka utatamani kunywa sumu. Ukiona amemtukana mtu ujue huyo mtu alianza siku nyingi kumchokonoa, na yeye akapata habari halafu anaanza kukuchunguza. Anakuonya kistaarabu pia, sasa ukiwa mbishi ndio atakupa pressure ya kupanda kama si ya kushuka. matusi yake yatafuta yako yote. Ingieni kwenye page yake ya IG leo muone jinsi alichomchamba Le mutuz... Kisa tu Le mutuz alikua analelewa na Honey's yule mama wa maduka ya nguo na sasa furniture. Nahisi Honey's kamuomba Mange amsaidie hiyo kazi ya kumchamba Le Mutuz maana yeye hawezi.
Mange usimtafute, atakuchamba mpaka utajuta kuzaliwa. sio mzima, ni wa kukaa nae mbali. Alimchamba juzi juzi hapa Nambua wa Cassandra, akachanganya na wazazi wake, nilichoka kabisa.
 
Kuishi maisha ya hali ya juu na kutupia maisha yake yote kwenye mitandao ili awaumize maadui zake, kumemtokea puani. hata hivyo yule baba ana roho ngumu sana, kuweza kumvumilia Mange hadi kuzaa watoto wawili, inataka moyo wa ziada.
marafiki zake wote bongo aligombana nao, yaani ni shida huyu mdada.
 
Hana lolote hasira za divorce kaamishia kwa le mutuz...Mange anamchukia kila aliyemzidi uwezo na kingine anatabia ya kujiona kuwa anajua kila kitu kumbe ni zero brain. Hana kazi wala hela ni maskini wa kutupwa huko US baada ya Lance kumuacha ndo amezidi kuchanganyikiwa kabisaaa
 

huyu dada ni shida. yaani mimi nilikua naomba mungu nisijuane nae kabisa, niishie kumsoma mitandaoni. ameathiri watu wengi sana ki saikologia. watoto ndio nawaonea huruma lakini yeye, acha aonje joto ya jiwe maana ndio maaisha aliyochagua.
 
Well said...watu humu wanamponda lakini kule IG ndo wanaongoza kumsupport once anapotoa kichambo,( wabongo bila unafiki mambo hayaendi)na ni nimesema be4 mange hadi umchokoze ndipo anaanza mashambulizi, hamuanzi mtu yeye
 
Well said...watu humu wanamponda lakini kule IG ndo wanaongoza kumsupport once anapotoa kichambo,( wabongo bila unafiki mambo hayaendi)na ni nimesema be4 mange hadi umchokoze ndipo anaanza mashambulizi, hamuanzi mtu yeye
Ila apunguze kuchamba watu, huwezi kugombana na mimi halafu wakati wa kurudisha ukavamia familia yangu yote ambayo hata haihusiki jamani lol..... Alimchamba Hoyce Temu jamani, mpaka karibu Hoyce awehuke, kisa ungomvi na mdogo wake. Hoyce alijaribu sana kumshitaki kupitia Home Affairs na Ubalozi wa Marekeni lakini nadhani ilishindikana, Mange akatamba mpaka basi.
 
Ana mdomo ila hana nguvu, alinaswa tubao tuwili twa haja akadai katishiwa bastola. Ukiwa msema hovyo lazima uwe na back-up lasivyo utaishia kuishi kama digidigi, lame!
 
muosha huoshwa [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Umeonaeee!!! Sasa anakula matapishi yake taratiiibuuuu!! Ngada ya kahe! Mchawi wake kafa lazima. Sasa kaona ya wenzie hayako hewani anayakazania. I want to ask people, how did she became a star? Na Star ni nani Tanzania? Kama amekuwa star, Bi Chausiku, mama wa mipasho aitwe nani?
 
Nyamaza hivyo hivyooooo! Asubiri moto wa Hoyce Temu. Tupo humu mambo ya NDANI kaa mkao wa kula. Mtoto wa polisi yule, ngoma inogile soon. Mdada hasemi lakini maktime yake mbayaaaa
 
Nilikuwa nakaonaga pale Serena most of the time maana my ofisi iko opposite. Kalikuwa kanajiuza masikini. Ukikaona kama mbilikimo Fulani hivi. Anatembea kwa kuvizivizia tu
 
Duh, mjini shule jamani. Namwonea huruma. I am praying she gets counceling sooner. Pole Mange, wagomvi wako, haters wako, fans na wapenzi wako. Mungu akutie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu.
Sasa atafanya wapi kazi? Bongo ana issues kibao. Kesi zake zimefika 7 hapa makao makuu. Jeshi lake linaongozwa na JK mwenyewe. Magufuli kutukanwa hata hakuna haja ya kesi ni kumdakua tu. Kifo kinamwita. Huyo Lance should take the kids wallahi.
 
The lady was too much kama mtori unaonguka from bakuli. Sasa tumekaa tunatizama. Kinchwapanziiiiii anamkatisha viuno tu huko na issues. Mdada alifulia hadi akawa anulizia nyama haloooo.... I am loving this karma
 
Shoga za kupotezana?
Pigwa hack mbaya na hackers wa bongo eti anajiita untouchable! They touched her a bit. Now I heard the hackers are on her instagram. Problem is that she wants kuishi life za akina Shamim Mwasha, Mwamvita, Kiki, Jacque Mengi na wengineo. Sasa kajaribu papuchi, biashara uchwara imekula kwake.
 
Sasa atafanya wapi kazi? Bongo ana issues kibao. Kesi zake zimefika 7 hapa makao makuu. Jeshi lake linaongozwa na JK mwenyewe. Magufuli kutukanwa hata hakuna haja ya kesi ni kumdakua tu. Kifo kinamwita. Huyo Lance should take the kids wallahi.

Huyu asipopata counselling atacommit suicide. Divorce peke yake ni issue kubwa inahitaji mtu uwe focused kuihandle, familia na marafiki wawe karibu kukucomfort. Sasa huyu na makando kando yalivyo mengi sijui km atahimili kishindo. Rafiki hana, ndugu wako ambako akitia mguu atanyakwa.

Hili ni funzo, asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu, kiburi si maungwana, usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Dont burn your bridges before crossing the river.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…