Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
mwenzangu! mie hapa hoi nikikumbuka juzi tu katoka kutuaminisha kwamba mumewe anafurahi kuona mkewe kumbe ni selebriti! sijui kama ntakuja kuamini chochote atakachosema haa haa haaSi alikua anasema kua mmewe anafurahia kua anavyoongelewa sasa imekuwajee,,,sasa alikua anamsema zari zamu yake imefika ahhaah,,jamani tuleteeni umbea hukuu
nilianza kumuona kichwa mzushi hasa pale alipokuwa anatupia video anamkatikia mzungu mauno...sijui mzungu mwenyewe harespond khaa!