hahahhaaa!kwa kweli!!!Endless thread [emoji108]
Zamani nilikua simuelewi but now ndo namuelewa na nimependa style yake huyo mchaga ulaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nliziona mdaa nlicheka balaaa!
mbuta nanga in kizibo kabisa
Hahaaaa, mpenzi Mbuta nanga ni shideh! eti adui yako akiachika unafanye?! HAAHAA aha wazungu watuletee mitandao tucheke tuongeze siku sie. Mis you sana.....atakionaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile videos za mbutananga umeziona gen?
Uwiiiiii ngoja nikaziangalie tena.
Jana kidogo nife kwa kicheko.
cc mwasu I miss you darling
Haahaa, hii haina mwisho shoga, na soon mods wataipaisha pale juu iwe ya kudumu, mpaka aombe radhi kwa wote aliowakosea gagula yule.bado kumbe mnaendelea?!!
😉Waoane na lemutuz
Asa kwanini unatukana watu wote wakati unayegombana naye ni mleta mada tu? Notorious twit!Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa, mpenzi Mbuta nanga ni shideh! eti adui yako akiachika unafanye?! HAAHAA aha wazungu watuletee mitandao tucheke tuongeze siku sie. Mis you sana.
Le mutuz ni msakatonge.Le mutuz tunakukubali sana,tatizo ni yaani wewe na exposure yako yote unamuona Magufuli can do no wrong? una betray principles zako just for the sake ya kum please mtu anaye shikilia shoka-ukitegemea indirectly or directly tonge litaangukia kwako-this is so sad
Alishamaliza yale masomo yake ya elimu ya juu au ilikuwa fix?Nifah Lance amepata kazi Dubai.
Ukweli anaujua Mange na KP, lakini shule nadhani ilikuwa pia ni technic ya kukimbia stress za nyumbani. Ilianza shule, divorce sasa kazi Dubai.Alishamaliza yale masomo yake ya elimu ya juu au ilikuwa fix?
Hili la kurudi Dubai litazidi kumpagawisha mange, maana Dubai alikula bata sana.Ukweli anaujua Mange na KP, lakini shule nadhani ilikuwa pia ni technic ya kukimbia stress za nyumbani. Ilianza shule, divorce sasa kazi Dubai.
Ukizingati yeye anabaki na watoto, hata akipewa 20% ya mshahara, halifikii tanuzi atakalotanua Nyari.Hili la kurudi Dubai litazidi kumpagawisha mange, maana Dubai alikula bata sana.
Hajarudi....according to IG yake (unless ile new contract inahusu dubai)Nasikia Lance kurudi Dubai kwenye issue zake. Bi dada alikuwa anamtaja migundu ti
Ndio sababu kavurugikiwa kiakili, jana alichachamaa kweli kwa uteuzi wa Doto, yaani alikuwa anaropoka kama kapandwa na kichaa, kumbe ni Dubai imempandisha homa, kazi anayo.Ukizingati yeye anabaki na watoto, hata akipewa 20% ya mshahara, halifikii tanuzi atakalotanua Nyari.
Alijua atachaguliwa kwenye nafasi ya uongozi wowote serikalini , so anamalizia hasira yake, but hana democracy yyt asingeweza kuwapa watu solex kama kweli Anapigania democracy pale wanapo mkosoaAnapigania democrasia ya Tanzania ilindwe na kuzingatiwa