msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
utamsikia mama wa mashauzi.com anajikomba kwamba atapeleka watoto na festi class.. wkt restraining order inamhusu.. atachina huko calver city mpk nywele nyeupe zimalizike kuota.. lolNasikia Lance kurudi Dubai kwenye issue zake. Bi dada alikuwa anamtaja migundu ti
Ile mwenzetu yule hakulikoroga tu bali alilikoroga na kuliblend, kha mwanaume gani atavumila mwanamke anaempiga mama yako na kukigawa nje pia. Jamani kitchen party yake ilikuwa wastage of space and time.Ndio sababu kavurugikiwa kiakili, jana alichachamaa kweli kwa uteuzi wa Doto, yaani alikuwa anaropoka kama kapandwa na kichaa, kumbe ni Dubai imempandisha homa, kazi anayo.
Toka aachane na Mange awwww amenawili stress zilikuwa zinamzeesha , by the way huyo bilionea Nina wasiwasi naye kwn kwa mtu mwenye pesa zake hawezi akawa anampiga pics za mapozi ya kikahaba tena mtaani, hakika huyo ni kahaba wa kiume pia. Nature ya video na pics anazopigwa zinajielezaLance toka aachane Na Mange kawaida Rough mbayaa mudevu kama pango la Osama..Mange knows how to take care if husband sio Huyo Nyari...Hata ivyo Mange Tayari ana Kifaa kingine hatari..Mzungu wa Maana Bilionea.Akina Nifah muandae kuficha USO zenuu Maana mlishupaliaaa kama Kuachwa Dhambi..mwenyewe Nifah unataka kunambia huna TALAKA tokomea wewe
Haa, kumbe bibi kenzo alipigwa? hii sikuipata, basi mange ana matatizo ya akili ni wa kutibiwa huyu.Ile mwenzetu yule halikoroga tu bali alilikoroga na kuliblend, kha mwanaume gani atavumila mwanamke anaempiga mama yako na kukigawa nje pia. Jamani kitchen party yake ilikuwa wastage of space and time.
Bibi makofi yalimhusu baada ya kuhoji matumizi mabaya ya pesa.Haa, kumbe bibi kenzo alipigwa? hii sikuipata, basi mange ana matatizo ya akili ni wa kutibiwa huyu.
Bilionea mwenyewe angekuwa anampiga picha mtaani tena na mapozi ya kikahaba na viguo vyake makalio chini wazi? Huyo ni kahaba la kiume tuMama kwani vepeee?
Huyo bilionea na atuoneshe tu kwani kitu gani bwana?
Anamficha mwanaume asijenyang'anywa custody ya watoto akakosa 20% za mshahara wa Lance kila mwezi.
Kama bilionea kweli kwanini asijiachie nae hadharani?
20% ya mshahara wa Lance imshinde bilionea?
Acheni utani nyie.
Nimecheka kama mazuri vile, kumbe lance alikuwa na msalaba wa chuma chenye moto maskini. Mange ni shida na atampa shida lance kama faiza wa sugu.Bibi makofi yalimhusu baada ya kuhoji matumizi mabaya ya pesa.
Imekula kwake,wazungu wamefile case ya mental disorder and unfit mother.Nimecheka kama mazuri vile, kumbe lance alikuwa na msalaba wa chuma chenye moto maskini. Mange ni shida na atampa shida lance kama faiza wa sugu.
Ile mwenzetu yule halikoroga tu bali alilikoroga na kuliblend, kha mwanaume gani atavumila mwanamke anaempiga mama yako na kukigawa nje pia. Jamani kitchen party yake ilikuwa wastage of space and time.
Akinyang'anywa watoto ndio uchizi utampanda mara mia, hata mimi nasapot hafai kulea watoto huyu chizi maarifa.Imekula kwake,wazungu wamefile case ya mental disorder and unfit mother.
Mwenzangu sisi tusemeje?Labda ndio uzungu wenyewe.Bilionea mwenyewe angekuwa anampiga picha mtaani tena na mapozi ya kikahaba na viguo vyake makalio chini wazi? Huyo ni kahaba la kiume tu
Eti nini Nifah mpenzi? mtoto anamshauri mama avae uchi apate bwana? maskini lance afanye fasta achukue watoto.Mwenzangu sisi tusemeje?Labda ndio uzungu wenyewe.
Hadi mtoto (Kenzo) anamshauri mama yake avae uchi apate bwana!
We Mwasu ni mwanamume wa Dar au????Eti nini Nifah mpenzi? mtoto anamshauri mama avae uchi apate bwana? maskini lance afanye fasta achukue watoto.
Shoga uko wapiiiiii?Eti nini Nifah mpenzi? mtoto anamshauri mama avae uchi apate bwana? maskini lance afanye fasta achukue watoto.
lance kapata kazi dubaiUwiiiiiii shoga huu ubuyu umeunyapia wapiiii?[emoji39][emoji39][emoji39]
Sijapitia kwa KP tokea juzi.
Hebu ngoja niende.