Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Ndio nimepitia tena kwa KP nikakumbuka niliona ule mnara wa Dubai lakini sikutilia maanani.
Uwiiiii kama namuona Nyari anavyojilia bata [emoji39][emoji39][emoji39]
yaani mpaka nimemuonea mange huruma yaani
 
yaani mpaka nimemuonea mange huruma yaani
Ila kiukweli huwa siwezi kumchukia Mange moja kwa moja.
Kuna wakati ananifurahisha hadi natamani kumpa like basi tu.
Na kuna wakati ananikera hadi natamani kumtafuna.

Vuguvugu lake juu ya UKUTA nilimpenda sana.
She is smart...sometimes yes
Sometimes no.
 
same to me ! sema ananiuzi tu kutukana wadada wa watu live
kila mtu ana issues zake bna za siri
sasa mange akijua anaaniiika sio fresh pale ndo huwa simfagilii hata kidogo
 
same to me ! sema ananiuzi tu kutukana wadada wa watu live
kila mtu ana issues zake bna za siri
sasa mange akijua anaaniiika sio fresh pale ndo huwa simfagilii hata kidogo
Same same sweetheart.
Hapo tu ndipo anapotukera wengi.
Angeendelea kama alivyo sasa,ubuyu kidogo na masuala serious ya nchi ingekuwa poa sana.

Madai yake eti anasemwa sana hivyo nae anajibu mapigo.
Hakuna njia bora kama kumpuuzia akuanzae,mwisho atachoka ataacha kukusema.
Ila utakapomjibu utampa sababu za kuendelea kukusema zaidi...si umetaka ligi?

Kama juzikati alivyosemwa hana gari sikuona sababu ya yeye kupost akiwa kwenye gari,angekaa kimya tu maana anazidi kumpa kick KP unknowingly.

Ila si kasema Le Mubebez kamkataza drama?Tuone kama ataacha.
 
ujue mange alibug step sana alivoanza kujibizana na kila aliempinga
yaani alitegemea kila mtu awe upande wake?
ile blog angekubali tu watu wamkosoe aweke tu mashauzi yake hadi leo angekuwa na blog ile na marafiki zake na mabiashara nadhani angeshakuwa bilionere maana alikuwa famous sana halafu anajua kujimarket
sijui nani alimloga na misifa isio na maana
kachezea nafasi
 
Dah...umewaza mbali sana Miss [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Yule drama hawezi kuacha.labda ajipe break tu.atajihisi mwenyewe u famous umepungua.atatatafuta tu cha kuchokonoa.ila ana kipaji fulani cha uandishi.kama cha uwongo akipambe kionekane kama cha ukweli.Mimi nilimshusha ile ya divorce alivyokataa bila k.p maybe isingejulikana. Nikaona na mengine huwa anavumisha tu.ingawa yapo ambayo yana point
 

hahaaa eti uswazi tu hata akae katikati ya Marekani lols!
 
Mwenzangu KP katufumbua macho wengi.
Bila yeye hadi leo tungekuwa tunawekewa picha na video za Lance.
 
kakamatwa finnland ndo wako kwenye uchunguzi anaitwa Emma Nkonoki
Weweeeeee kumbe ndio yeye kweli kama Mange alivyokuwa anasema?
Tusubiri tuone kama KP hatopost chochote.
Jamani asiwe yeye tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…