Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani mpaka nimemuonea mange huruma yaaniNdio nimepitia tena kwa KP nikakumbuka niliona ule mnara wa Dubai lakini sikutilia maanani.
Uwiiiii kama namuona Nyari anavyojilia bata [emoji39][emoji39][emoji39]
Ila kiukweli huwa siwezi kumchukia Mange moja kwa moja.yaani mpaka nimemuonea mange huruma yaani
same to me ! sema ananiuzi tu kutukana wadada wa watu liveIla kiukweli huwa siwezi kumchukia Mange moja kwa moja.
Kuna wakati ananifurahisha hadi natamani kumpa like basi tu.
Na kuna wakati ananikera hadi natamani kumtafuna.
Vuguvugu lake juu ya UKUTA nilimpenda sana.
She is smart...sometimes yes
Sometimes no.
Ila kiukweli huwa siwezi kumchukia Mange moja kwa moja.
Same same sweetheart.same to me ! sema ananiuzi tu kutukana wadada wa watu live
kila mtu ana issues zake bna za siri
sasa mange akijua anaaniiika sio fresh pale ndo huwa simfagilii hata kidogo
ujue mange alibug step sana alivoanza kujibizana na kila aliempingaSame same sweetheart.
Hapo tu ndipo anapotukera wengi.
Angeendelea kama alivyo sasa,ubuyu kidogo na masuala serious ya nchi ingekuwa poa sana.
Madai yake eti anasemwa sana hivyo nae anajibu mapigo.
Hakuna njia bora kama kumpuuzia akuanzae,mwisho atachoka ataacha kukusema.
Ila utakapomjibu utampa sababu za kuendelea kukusema zaidi...si umetaka ligi?
Kama juzikati alivyosemwa hana gari sikuona sababu ya yeye kupost akiwa kwenye gari,angekaa kimya tu maana anazidi kumpa kick KP unknowingly.
Ila si kasema Le Mubebez kamkataza drama?Tuone kama ataacha.
Dah...umewaza mbali sana Miss [emoji122][emoji122][emoji122]ujue mange alibug step sana alivoanza kujibizana na kila aliempinga
yaani alitegemea kila mtu awe upande wake?
ile blog angekubali tu watu wamkosoe aweke tu mashauzi yake hadi leo angekuwa na blog ile na marafiki zake na mabiashara nadhani angeshakuwa bilionere maana alikuwa famous sana halafu anajua kujimarket
sijui nani alimloga na misifa isio na maana
kachezea nafasi
YeuwiiImekula kwake,wazungu wamefile case ya mental disorder and unfit mother.
stress za kuachwa kahamishia kwa magufuli. acha aachwe huyo mume anahudumiwa saa ngapi?
kutwa anagombana na watu instagram. kweli wa uswazi ni wa uswazi tu hata akikaa katikati ya marekani.
hongera dada. endeleza stress za talaka kwenye ukuta. lkn tunajua huthubutu kurudi tz kwa kuwa umeharibu kila sehemu.
pole sn. MUTARAKA YA MUZUNGU
Bibi makofi yalimhusu baada ya kuhoji matumizi mabaya ya pesa.
kichwa panzi kakamatwa jamaniDah...umewaza mbali sana Miss [emoji122][emoji122][emoji122]
Na kama aliwekwa na kutoka je?Huu! mna uhakika, ampige mzungu hajitaki? si angekuwa ndani saa hii!
kakamatwa finnland ndo wako kwenye uchunguzi anaitwa Emma Nkonoki
Mwenzangu KP katufumbua macho wengi.Yule drama hawezi kuacha.labda ajipe break tu.atajihisi mwenyewe u famous umepungua.atatatafuta tu cha kuchokonoa.ila ana kipaji fulani cha uandishi.kama cha uwongo akipambe kionekane kama cha ukweli.Mimi nilimshusha ile ya divorce alivyokataa bila k.p maybe isingejulikana. Nikaona na mengine huwa anavumisha tu.ingawa yapo ambayo yana point