Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
wacha tu wachambwe kwanza adabu washike[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] na ndo wakome kwanza!Sasa huyo dada wanamjua balaa lake sasa wanamchokonoaga wa nini maana hapo atawatukana mbaka familia yake!