Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

alale wapi?halafu Mange haongeagi uongo haswaa siri za watu za anabwaga so Leo da bite mumew atataka ajue ukweli wotee
ndo akome!!!

anasema tu huyu Mimi hapa namjambisha humu tu Ila wee yule bwana bulldozer ndo maana kahakikisha anamkamata kichwapanzi

labda amroge[emoji3] [emoji3]
Mi kaniacha hoi pale anaposema huyo Beatrice anagawa papuchi bila condom[emoji15] [emoji15] ...kwi kwi kwi, mi nakwambia huko aliko bite, anajiharishia asee..
 
Ila yule mdada Mange Kimambi ana kichambo cha kufa mtu. Yaani usiombe uingie ktk 18 zake. Ni balaa. Huko instagram kuna mdada anaitwa Beatrice Condrad amepewa kichambo heavy hadi aibu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ile namba nyingine yule anamwaga siri zako hadharani!
 
ataacha afanye nini?
mange hanaga akili yoyote .mtu unakaa marekani ushindwe hata kuvalisha wazee pampas upige dolar unabaki kutukana serikali mtandaoni ? yeye ni nani
kwenye wanaharakati hayupo
upinzani hayupo
yaani kabaki tu kujiua yule hana mwelekeo wa maisha tena
Na asilogwe aje bongo huyu zama za magu ataisoma number atawekwa ndani cku anaachiwa atakua bibi bhoke, atakua kashamletea mjukuu. Naona kwa kàmpeni aliaidiwa cheo kwa ajili ya kutukana naona hawakumpa naona kawageuzia kibao.
 
Mungu anakuona ujue[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu kwani kuna tatizo na alivyo mrembo vile ningefaidi sana
1473193333899.jpg
wanasemaga wazungu wanaakili ila yule wa mange kiazi anaacha mke mzuri na watoto anaenda kwa umaga mcheza mieleka kweli Majanga
1473193712999.jpg
 
Na asilogwe aje bongo huyu zama za magu ataisoma number atawekwa ndani cku anaachiwa atakua bibi bhoke, atakua kashamletea mjukuu. Naona kwa kàmpeni aliaidiwa cheo kwa ajili ya kutukana naona hawakumpa naona kawageuzia kibao.
Yule siku akirudi bongo walioumizwa watanyang'ana vipande vya nyama ya mange ka mbwa mwitu...watu wana hasira nae mbayaa
 
Maskini mi yule Beatrice namuonea hadi huruma yaani hadi Leo kaamka nae asee..kichambo anachopewa atajiona useless duniani[emoji24] [emoji31] [emoji26]
 
Hiyo mistari miwili ya mwisho nimecheka hadi nimelia..yaani yeye hapo anaona hajamchamba kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafwaz
Haaa haaa mange ni shida huo wokovu wake ni balaa....asa Leo umeona mwendelezo? Anamwambia huyo Bite eti kavaa mchupi Mkubwa hajui hata bikini 2016[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] ...ha ha ha nimecheka hadi mbavuu zangu zinaumaaa
 
Watu wanaomchokonoa sijui huwa wanajiamini vipi aisee
 
wapumbavu tu wenzao wanaokuja na I'd fake tunapenda...??
Haaa haaa mange ni shida huo wokovu wake ni balaa....asa Leo umeona mwendelezo? Anamwambia huyo Bite eti kavaa mchupi Mkubwa hajui hata bikini 2016[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] ...ha ha ha nimecheka hadi mbavuu zangu zinaumaaa
Ila kamuambia ana churrraaa nimecheka balaa
Hiyo mistari miwili ya mwisho nimecheka hadi nimelia..yaani yeye hapo anaona hajamchamba kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafwaz
kaokoka jamani looohh
Leo asubuhi anamuambia siongei na wenye nyusi kama hizi
Maskini mi yule Beatrice namuonea hadi huruma yaani hadi Leo kaamka nae asee..kichambo anachopewa atajiona useless duniani[emoji24] [emoji31] [emoji26]
Ndo akome tena washike adabu zao mi hapa[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
sina habari
 
wapumbavu tu wenzao wanaokuja na I'd fake tunapenda...??

Ila kamuambia ana churrraaa nimecheka balaa

kaokoka jamani looohh
Leo asubuhi anamuambia siongei na wenye nyusi kama hizi

Ndo akome tena washike adabu zao mi hapa[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
sina habari
Yaani leo nimecheka hatari
 
Back
Top Bottom