Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

wacha tu wachambwe kwanza adabu washike[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] na ndo wakome kwanza!
Mimi page yake huwa napita kupata habari maana anajua kuzipangilia sasa kuna watu huwa wanamchokonoa na yeye huwa hawaach anawapa dozi nzito nda wanakimbilia huku kumkandia
 
Mimi page yake huwa napita kupata habari maana anajua kuzipangilia sasa kuna watu huwa wanamchokonoa na yeye huwa hawaach anawapa dozi nzito nda wanakimbilia huku kumkandia
[emoji3] [emoji3] dozi heavyyyyy[emoji3] [emoji3]
Dah eti nyusi kama barabara ya kwenda chato.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mange mchambo wake ni heavy..huyu Beatrice Leo halali. Tehe teh
alale wapi?halafu Mange haongeagi uongo haswaa siri za watu za anabwaga so Leo da bite mumew atataka ajue ukweli wotee
ndo akome!!!
anasema tu huyu Mimi hapa namjambisha humu tu Ila wee yule bwana bulldozer ndo maana kahakikisha anamkamata kichwapanzi

labda amroge[emoji3] [emoji3]
 
Halafu alikuwa mchakarikaji mtafuta hela na biashara as hapa na pale na alikuwa akiuza Leo hii naona hakuna tena.
 
Mange angekuwa bongo na hivi ameachika ningefanya mchakato nimuoe ili niwe napata ubuyu kitandani kabla haujaingia kwenye media!
 
Ila yule mdada Mange Kimambi ana kichambo cha kufa mtu. Yaani usiombe uingie ktk 18 zake. Ni balaa. Huko instagram kuna mdada anaitwa Beatrice Condrad amepewa kichambo heavy hadi aibu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu yule inatakiwa unapita kwenye page yake unapata habari mengine unamwachia mwenyewe ukijifanya unamchokonoa ndo yanakukuta kama yaliyo mkuta huyo mama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…