Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Muosha naye huoashwa. Ila I can not imagine jinsi gani mzungu atamnyang'anya watoto. Hivi lakini niombeni mtusaidie kisa cha ndoa kuvunjika ni nini? Nimeona kule facebook picha za watoto alishaziondoa. Huwezi ku expose wanao kihivyo kwa social media. Hata akina Prince William na Kim K hafanyi hivyo. Yaani huyu ni wa kule uswazi kabisa mashauri sasa amevuna laana za walioteswa naye.