Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ni mambo 2 tu bado mengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Miss unakumbuka mengi,hadi bei?
Mimi sikumbuki bei zaidi ya matukio.
Kumbe ilikuwa ml 16?[emoji134][emoji134][emoji134]
Kweli sio mzima yule.
Huku pembeni LV ya mil 25.
Jumla mil 41 Uwiiiiiiii
Hahahh pole mbona rahisi tu nenda kwenye sign up[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] toba ilayh!heee watu wako serious
aiseeeh!wameamua jamaniii!!
nifundishe kufungua fake account IG maana KP kaniblock!
hii amepost 10 hours ago, sasa sielewi amekamatwa vipi?KP anatupa raha wengi jamani,siku akiondoka IG nitatundikiwa dripu.
Maana nikishachoka akili huwa naenda kwenye page yake nacheeeeeka.
Sasa kumkosa sijui itakuwaje.
Lazima afadhiliwe,no way.
lv ni bei ila so 21 m muongoMuongo bwana yule [emoji23] [emoji23]
Fungua e-mail fake kwanza,kisha ulog out IG.nifundishe kufungua account fake IG!
wanadai kesi iko kwenye uchunguzi huko Finland last week alienda kuhojiwahii amepost 10 hours ago, sasa sielewi amekamatwa vipi?
11h
- kichwapanzioriginalMWANYEGE UNAYEISHI KWA CHILD SUPPORT UNAAMBIWA UWALEE VIZURI HAO NDIO KITEGA UCHUMI CHAKO YAANI HII KITU INACHEKESHA NA KUSIKITISHA.KWELI BINADAMU NA AKILI ZAKE ANAWAGEUZA WATOTO KUWA MTAJI
KICHAA HAKIPIGI HODI UJUE
hahahaaa!uzuri sina account facebookFungua e-mail fake kwanza,kisha ulog out IG.
Utaona options za kusign up au log in...
Wewe sign up.
Kumbuka usisign up kupitia FB ipo siku utashtukiwa.
Ukishamaliza kusign up enjoy ubuyu kwa roho safiiiiiii.
Mimi huwa najiachiaje?Nachaaamba mpaka basi.
Fekero raha sana.
Mtaalam,mimi kule sicomment kwa kuwa kuna uhalisia.Fungua e-mail fake kwanza,kisha ulog out IG.
Utaona options za kusign up au log in...
Wewe sign up.
Kumbuka usisign up kupitia FB ipo siku utashtukiwa.
Ukishamaliza kusign up enjoy ubuyu kwa roho safiiiiiii.
Mimi huwa najiachiaje?Nachaaamba mpaka basi.
Fekero raha sana.
Pochi tena ya maana ni heshima asikuambie mtu.unajua pochi ina raha yake ukiwa na mbili tatu za maana sio mbaya ila sio unajisahau ununue pochi ya milioni 21 kisa designer eti
Kumbe mpk email fake [emoji134] [emoji134] nahs ntabambwa sikuFungua e-mail fake kwanza,kisha ulog out IG.
Utaona options za kusign up au log in...
Wewe sign up.
Kumbuka usisign up kupitia FB ipo siku utashtukiwa.
Ukishamaliza kusign up enjoy ubuyu kwa roho safiiiiiii.
Mimi huwa najiachiaje?Nachaaamba mpaka basi.
Fekero raha sana.
Mimi nimewahi kublockiwa na watu wawili tu.Na mimi na fekero ila lemutuz kaniblock sijui aliniona nimemchamba kwa mtu yaan ata sikumbuki nilichomfanyia [emoji23] [emoji23]
fungua mama maprosoo2016@yahoo.comKumbe mpk email fake [emoji134] [emoji134] nahs ntabambwa siku
Mbona nimetoka IG nusu saa iliyopita nimeona post yake aliyopost dakika 10 zilizopita?hii amepost 10 hours ago, sasa sielewi amekamatwa vipi?
11h
- kichwapanzioriginalMWANYEGE UNAYEISHI KWA CHILD SUPPORT UNAAMBIWA UWALEE VIZURI HAO NDIO KITEGA UCHUMI CHAKO YAANI HII KITU INACHEKESHA NA KUSIKITISHA.KWELI BINADAMU NA AKILI ZAKE ANAWAGEUZA WATOTO KUWA MTAJI
KICHAA HAKIPIGI HODI UJUE
mimi nilikoment kwa kp mange akaniblock kumbe huwa anasoma maskini nilidhani hajaliMimi nimewahi kublockiwa na watu wawili tu.
Tiwa Savage na ChaggaBaby.
Tiwa hiyo siku alivaa hovyoooo,nikamchamba mwenzangu,nilimuambia "You look like an old woman"
Uwiiiii dakika 5 mbali,hadi leo sijui chochote kuhusu Tiwa.
Chagga nilicomment kwa usipojipanga "Chagga bibi" nikashangaa block tayari.
Ukikomment sehemu vibaya kuhusu wao huwa wanasoma na wanakublock.
Jokate tu ndio nilimchamba hajapendeza na hakuniblock.
yupo 24/7Mbona nimetoka IG nusu saa iliyopita nimeona post yake aliyopost dakika 10 zilizopita?
KP bado yupo kitaa [emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23]fungua mama maprosoo2016@yahoo.com