Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Miss unakumbuka mengi,hadi bei?
Mimi sikumbuki bei zaidi ya matukio.

Kumbe ilikuwa ml 16?[emoji134][emoji134][emoji134]
Kweli sio mzima yule.
Huku pembeni LV ya mil 25.
Jumla mil 41 Uwiiiiiiii
hapo ni mambo 2 tu bado mengine
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] toba ilayh!heee watu wako serious

aiseeeh!wameamua jamaniii!!

nifundishe kufungua fake account IG maana KP kaniblock!
Hahahh pole mbona rahisi tu nenda kwenye sign up
 
KP anatupa raha wengi jamani,siku akiondoka IG nitatundikiwa dripu.

Maana nikishachoka akili huwa naenda kwenye page yake nacheeeeeka.
Sasa kumkosa sijui itakuwaje.

Lazima afadhiliwe,no way.
hii amepost 10 hours ago, sasa sielewi amekamatwa vipi?
11h
  • kichwapanzioriginalMWANYEGE UNAYEISHI KWA CHILD SUPPORT UNAAMBIWA UWALEE VIZURI HAO NDIO KITEGA UCHUMI CHAKO YAANI HII KITU INACHEKESHA NA KUSIKITISHA.KWELI BINADAMU NA AKILI ZAKE ANAWAGEUZA WATOTO KUWA MTAJI
    KICHAA HAKIPIGI HODI UJUE
 
nifundishe kufungua account fake IG!
Fungua e-mail fake kwanza,kisha ulog out IG.
Utaona options za kusign up au log in...
Wewe sign up.
Kumbuka usisign up kupitia FB ipo siku utashtukiwa.
Ukishamaliza kusign up enjoy ubuyu kwa roho safiiiiiii.
Mimi huwa najiachiaje?Nachaaamba mpaka basi.
Fekero raha sana.
 
hii amepost 10 hours ago, sasa sielewi amekamatwa vipi?
11h
  • kichwapanzioriginalMWANYEGE UNAYEISHI KWA CHILD SUPPORT UNAAMBIWA UWALEE VIZURI HAO NDIO KITEGA UCHUMI CHAKO YAANI HII KITU INACHEKESHA NA KUSIKITISHA.KWELI BINADAMU NA AKILI ZAKE ANAWAGEUZA WATOTO KUWA MTAJI
    KICHAA HAKIPIGI HODI UJUE
wanadai kesi iko kwenye uchunguzi huko Finland last week alienda kuhojiwa
 
Fungua e-mail fake kwanza,kisha ulog out IG.
Utaona options za kusign up au log in...
Wewe sign up.
Kumbuka usisign up kupitia FB ipo siku utashtukiwa.
Ukishamaliza kusign up enjoy ubuyu kwa roho safiiiiiii.
Mimi huwa najiachiaje?Nachaaamba mpaka basi.
Fekero raha sana.
hahahaaa!uzuri sina account facebook
 
Fungua e-mail fake kwanza,kisha ulog out IG.
Utaona options za kusign up au log in...
Wewe sign up.
Kumbuka usisign up kupitia FB ipo siku utashtukiwa.
Ukishamaliza kusign up enjoy ubuyu kwa roho safiiiiiii.
Mimi huwa najiachiaje?Nachaaamba mpaka basi.
Fekero raha sana.
Mtaalam,mimi kule sicomment kwa kuwa kuna uhalisia.
 
unajua pochi ina raha yake ukiwa na mbili tatu za maana sio mbaya ila sio unajisahau ununue pochi ya milioni 21 kisa designer eti
Pochi tena ya maana ni heshima asikuambie mtu.
Mimi siku nikiamua kuvunja kabati na pochi yangu ya maana mkononi hata ukionana na bae lazima aone aibu akutoe
[emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea classic wewe?Hata watu wa hovyo wanaogopa kukusemesha.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fungua e-mail fake kwanza,kisha ulog out IG.
Utaona options za kusign up au log in...
Wewe sign up.
Kumbuka usisign up kupitia FB ipo siku utashtukiwa.
Ukishamaliza kusign up enjoy ubuyu kwa roho safiiiiiii.
Mimi huwa najiachiaje?Nachaaamba mpaka basi.
Fekero raha sana.
Kumbe mpk email fake [emoji134] [emoji134] nahs ntabambwa siku
 
Na mimi na fekero ila lemutuz kaniblock sijui aliniona nimemchamba kwa mtu yaan ata sikumbuki nilichomfanyia [emoji23] [emoji23]
Mimi nimewahi kublockiwa na watu wawili tu.
Tiwa Savage na ChaggaBaby.
Tiwa hiyo siku alivaa hovyoooo,nikamchamba mwenzangu,nilimuambia "You look like an old woman"
Uwiiiii dakika 5 mbali,hadi leo sijui chochote kuhusu Tiwa.

Chagga nilicomment kwa usipojipanga "Chagga bibi" nikashangaa block tayari.

Ukikomment sehemu vibaya kuhusu wao huwa wanasoma na wanakublock.

Jokate tu ndio nilimchamba hajapendeza na hakuniblock.
 
hii amepost 10 hours ago, sasa sielewi amekamatwa vipi?
11h
  • kichwapanzioriginalMWANYEGE UNAYEISHI KWA CHILD SUPPORT UNAAMBIWA UWALEE VIZURI HAO NDIO KITEGA UCHUMI CHAKO YAANI HII KITU INACHEKESHA NA KUSIKITISHA.KWELI BINADAMU NA AKILI ZAKE ANAWAGEUZA WATOTO KUWA MTAJI
    KICHAA HAKIPIGI HODI UJUE
Mbona nimetoka IG nusu saa iliyopita nimeona post yake aliyopost dakika 10 zilizopita?
KP bado yupo kitaa [emoji108]
 
Mimi nimewahi kublockiwa na watu wawili tu.
Tiwa Savage na ChaggaBaby.
Tiwa hiyo siku alivaa hovyoooo,nikamchamba mwenzangu,nilimuambia "You look like an old woman"
Uwiiiii dakika 5 mbali,hadi leo sijui chochote kuhusu Tiwa.

Chagga nilicomment kwa usipojipanga "Chagga bibi" nikashangaa block tayari.

Ukikomment sehemu vibaya kuhusu wao huwa wanasoma na wanakublock.

Jokate tu ndio nilimchamba hajapendeza na hakuniblock.
mimi nilikoment kwa kp mange akaniblock kumbe huwa anasoma maskini nilidhani hajali
 
Kumbe mpk email fake [emoji134] [emoji134] nahs ntabambwa siku
Kwanza IG hawakubali kutumia e-mail 1 kufungulia a/c zaidi ya 1.

Pili kama unafungua fekero ni bora utumie fekero mwanzo mwisho.
Si unajua tena just in case?
 
Back
Top Bottom