Andrew0079
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 261
- 142
Kwan yeye wa kwanza kupata talaka apa dunian??? Acha umbulula mtoto mpuuz ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhoke hiyo siku aligomaaaa [emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaje?Ila Mange ana mashauzi asee...hivi kuzaa na mzungu tule tutoto tuwili anajiona top of top...masikini mi namuoneaga huruma tu huyo Bhoke utadhani sio mwanae, yaani kageuka unemployed photographer!?![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yaa zaidi ya furaha tusubilie bomu la KPWaiiiiiiii ngoja nikatafute dinner mie nikisubiria bomu la KP...
Tulikuwa na siku njema guys,nimefurahi sana.
Kwahyo ulikua unatakaje ata ww tunaweza kukuchamba ukatoka bila kuagaHebu tuwe wa kweli nyie wadada , hivi kwa id zenu za ukweli na picha zenu halisi kuna anayeweza kuchambana na Mange pale insta? ...bado nampa mange maksi maana anatumia account halisi na bado anawatoa watu nishai balaa!! .....
[emoji7][emoji7] Nifah wanguWooooow asante sweetheart.
Love you way back much moreeee [emoji9][emoji9][emoji9]
[emoji8][emoji8][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
ngoja namie niende
nimekugawanya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
nimeonaaa
kiboko ya mange
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15]
yaaani!siwawesi
mmhhhh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbeee?Atajutraaa anafikiri ni wote wanaopenda mashauzi yake?....mafans wake Leo wamempa live kuwa wanamunfollow, coz walikuwa wanafurika kwa ajili ya udaku tu, asa Leo anaambulia vicomment 20- 25... Yaani ni no mvutoo asee
duuuhh!pole mange si mvumilivu hata kidogo!!Alikuja mwenzangu!
hahaaa!poleee!!Hebu tuwe wa kweli nyie wadada , hivi kwa id zenu za ukweli na picha zenu halisi kuna anayeweza kuchambana na Mange pale insta? ...bado nampa mange maksi maana anatumia account halisi na bado anawatoa watu nishai balaa!! .....
mmmmhhh!!Mbele ya chips mbuzi acha tu nife.
Umemuona huyo kilaz.a anayetaka kutuharibia mood hapa?
Hebu mie nitarudi baadae.
Haaa haaa ....yani mange hanaga behind the scene!....afu nifah ujue yale mashauzi ya library siku ile ulikuwa ni mpango? Sema yule Bhoke anajielewa afu ni mpole maskini, na inaonesha hapendi midrama ya bi Mkubwa sema atafanyaje na Los Angeles anaipenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] ... Chezea kurudishwa kwa Frank Gonga Kinondoni...Bhoke hiyo siku aligomaaaa [emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaje?
Eti alivyogoma kumpiga picha akamuambia "I won't buy you stuffs anymore "
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ni mpango ule. Eti wanabishana huku wanajirekodi,yani nilichekaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Haaa haaa ....yani mange hanaga behind the scene!....afu nifah ujue yale mashauzi ya library siku ile ulikuwa ni mpango? Sema yule Bhoke anajielewa afu ni mpole maskini, na inaonesha hapendi midrama ya bi Mkubwa sema atafanyaje na Los Angeles anaipenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] ... Chezea kurudishwa kwa Frank Gonga Kinondoni...
tatizo hajakubaliana na hali!!anataka kuonekana bado yuko juu!kumbe [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ndio ni mpango ule. Eti wanabishana huku wanajirekodi,yani nilichekaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie naona Mange huwa anaumiza kichwa sana akiwaza apost nini Insta.
Ndio maana anafanya mambo kama kichaa.
Yeah,tatizo ndio hilo.tatizo hajakubaliana na hali!!anataka kuonekana bado yuko juu!kumbe [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
usiku mwema!Yeah,tatizo ndio hilo.
BTW Leo kasema kauaga umasikini na umbea,tusubiri mashauzi.
Kwaherini wambea wenzangu,nalala mie.
Usiku mwema my diaYeah,tatizo ndio hilo.
BTW Leo kasema kauaga umasikini na umbea,tusubiri mashauzi.
Kwaherini wambea wenzangu,nalala mie.
Naona mmetuma mje msikimbie tuKwan yeye wa kwanza kupata talaka apa dunian??? Acha umbulula mtoto mpuuz ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una akiliiiii....Mr.Rolex kamwe hataermege in public, y?..so simple answer ili cku hata Mangenita akimwagwa msijue coz hatumjui, ataendelea na mashauzi yake atamwita hata mwanaume yeyote amrecord then aturushe roho insta atwambie my Bae Rolex kumbe kamwagwa zamani...hapana chezea kile kichwa.