Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

1473102368708.png
Jamani ambao hamjabahatika kuona hiyo email, nimerudi mwanzo wa hii page nikaambulia huu upupu
 
out of topic
hivi mbona mimba za diamond huwa zina ukakasi kiaina?
unakumbuka ile picha zari alipost akafuata alikuwa anaogelea? mara ivan nae kapost eneo hilo hilo mara ana mimba
mimi sielewi ila ukisema utaambiwa umekuwa hater shogangu
Mkuu eneo sio shida kwn ww waweza kwenda kijiji Beach ukapiga picha kwenye jacuzi kwa siku tofauti na ex wako. Ingekuwa mbaya kama lile eneo lipo ndani ys himaya ya ivan
 
Lance nae ana matatizo gani jamani yaani yeye wanawake machizi ndio starehe yake? Hajajifunza kwa Mange shauri yake., huyu nae siku akimzoea akaachia uchizi wake atamlipua mpaka ashindwe hata kudai talaka ajimalize kabisa.
 
Na uyu mzimbabwe anaonekana uchizi wake zaidi ya mange
 
Matusi yake yote yanajulikana eg. Ukimwi, umalaya etc...hakuna MTU anaogopaa tena,....mi Leo nimeshangaa si kasema kaacha matusi na ugomvii???
ataacha afanye nini. Mtu unakaa marekani ushindwe hata kuvalisha wazee pampas upige dolar unabaki kutukana serikali mtandaoni ? yeye ni nani
kwenye wanaharakati hayupo
upinzani hayupo, hana mwelekeo wa maisha tena
 
Back
Top Bottom