Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

nimeanza kumsoma mange siku nyingi, tangu enzi za blog lakini kichambo cha leo kwa muheshimiwa kimevunja recodi ya vichambo vyote vilivyopita.....khaaah!!!
Kwakweli hapana!
Simpendi Makonda ila sio kihivi jamani!
Mhhhhhhh!
Mtume roho yangu,hivi Makonda ana hali gani huko alipo?
Hii ni zaidi ya kuachwa uchi.
 
Ki ukweli kwa makonda amepitiliza.mpaka una attack maisha yake binafsi.kuwa na shist kama mange ni big no kwa kweli.anaweza akakubadilikia any time.angemsema kuhusu hizo siasa ila sio na maisha yake binafsi.asije akafanyiziwa tu akija bongo.na maadui zake walivyokuwa wengi.kila mtu atakuwa the suspect
 
nimeanza kumsoma mange siku nyingi, tangu enzi za blog lakini kichambo cha leo kwa muheshimiwa kimevunja recodi ya vichambo vyote vilivyopita.....khaaah!!!

Leo kavunja rekodi aisee. Mi mpaka naogopa yani.
 
Ki ukweli kwa makonda amepitiliza.mpaka una attack maisha yake binafsi.kuwa na shist kama mange ni big no kwa kweli.anaweza akakubadilikia any time.angemsema kuhusu hizo siasa ila sio na maisha yake binafsi.asije akafanyiziwa tu akija bongo.na maadui zake walivyokuwa wengi.kila mtu atakuwa the suspect
hawezi kuja tena bongo .kwanza hana kitu bongo
wazazi wake marehemu .wapumzike kwa amani
kiwanja alishauza
hela zaurithi alishachukua zote kala
hana alichobakisha
 
Ki ukweli kwa makonda amepitiliza.mpaka una attack maisha yake binafsi.kuwa na shist kama mange ni big no kwa kweli.anaweza akakubadilikia any time.angemsema kuhusu hizo siasa ila sio na maisha yake binafsi.asije akafanyiziwa tu akija bongo.na maadui zake walivyokuwa wengi.kila mtu atakuwa the suspect
Hii ya leo ni nomaaaaa
Uwiiiiiii
 
You sealed it mkuu, jamani si vizuri kufurahia majanga lakini ubuyu huu una ladha sana😛😛😀
siwezi kufurahia tatizo my dear nishawai kupata majanga mimi kidogo nife na ujanja wangu nimesalimika kwa mganga wa kienyeji yaani anataka na kunioa ahahaaa
maisha haya acha kabisa my dear yaani naeshimu sana shida ya mtu ila nimemkumbuka tu jamaa halafu wewe mtu mzima utakuwa tu umenielewa
 
Back
Top Bottom