Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kazi imeanza,jibu la mange linakuja soon ,lemutuz nae bwana anajiingiza kwa yasiyomuhusu, dozi yake soon inakujaLembebez uyo au uyo c team dereva
sijakuelewaLembebez uyo au uyo c team dereva
Uyo aliyeandika si lemutuz au nashindwa tuma screenshot nashangaa kwa nn zinagomasijakuelewa
ndio ni le mutuzUyo aliyeandika si lemutuz au nashindwa tuma screenshot nashangaa kwa nn zinagoma
Si ndo lembebez missndio ni le mutuz
mange keshamjibu le mutuzSi ndo lembebez miss
Nimeona shoga mtu na baby wake [emoji28][emoji28]mange keshamjibu le mutuz
Heeeee..le mutuz katekenywa takoo, katokea wapi au ndo usuper friend?!?! hili lizee mbwiga tuu...walahi cku haipiti linanyooshwa na Mrs Rolex ,Hahahaha kazi imeanza,jibu la mange linakuja soon ,lemutuz nae bwana anajiingiza kwa yasiyomuhusu, dozi yake soon inakuja
Means best yake Kondasijakuelewa
PoteaAiseee umbea kipaji haswa. Huyo Mange ana Tija gani kwa Taifa hili hadi awe topic kihivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wambea tumepanda bei [emoji108].Mange angekuwa bongo na hivi ameachika ningefanya mchakato nimuoe ili niwe napata ubuyu kitandani kabla haujaingia kwenye media!
[emoji28][emoji28]Potea
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wambea tumepanda bei [emoji108].
Kumbe mnatupenda/kubali namna hii?
[emoji23][emoji23][emoji23]hivi nifah unakumbuka ile ya le mutuz kula hotpot zima halafu nduki chooni anawaachia harufu nyumba nzima anaaga haachi hata mia?
[emoji28][emoji28][emoji28]watu wana moyo Nifah si kwa mwili ule ulaliwe halafu uachiwi ata mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]