jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Duuuh!!!!! huyu mange si vizuri ku cross path yake-sielewi commoner kama Le mutuz linajiamini nini!!Kichwa panzi kakamatwa mamaaa!!anasubiri mashtaka huko Finland
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh!!!!! huyu mange si vizuri ku cross path yake-sielewi commoner kama Le mutuz linajiamini nini!!Kichwa panzi kakamatwa mamaaa!!anasubiri mashtaka huko Finland
Mange hapendi kushindwa hata siku mojaDuuuh!!!!! huyu mange si vizuri ku cross path yake-sielewi commoner kama Le mutuz linajiamini nini!!
ukiziona posts zake mpya,tunaomba utuhabarisheJamani wewe?Ina maana ni kweli gen?
Yule ndio KP?
Ngoja nikaangalie posts zake za mwisho.
kapoa siku hizi nasikiaPost yake ya mwisho ni masaa 21 yaliyopita.
Tuvute subira kidogo, ni mapema kusema chochote.
ndio maana kamtafuta mpk kampataSure.
Yule mwanamke KP tu ndiye aliyemuweza.
Natamani siku tumnyamazishe,tumalize jeuri zake [emoji34]
ndo yy KP kakamatwaJamani wewe?Ina maana ni kweli gen?
Yule ndio KP?
Ngoja nikaangalie posts zake za mwisho.
Security clearance kuhusu hadi wazazi? basi watoto wetu wote hawatapata high officeDuh, huyu Mange bado anaendeleza vituko? Atulie kwa heshima ya wanae jamani. Huwezi jua wakikua watachukulia hizi beef kama upumbavu au ushupavu kutegemeana na personalities zao.
Assume mmoja wapo atake kugombea au kuongoza high office pahala, security clearance inagusa hadi wazazi.
More popcorn please....
kapoa siku hizi nasikia
ndio maana kamtafuta mpk kampata
ndo yy KP kakamatwa
Security clearance kuhusu hadi wazazi? basi watoto wetu wote hawatapata high office
Kumdhalilisha Mange huko Finland !Kakamatwa kwa kosa gani? Mambo mengine kujipalia mkaa wa moto jamani. Mange hii move inaweza kuback fire ikamtia ndani vile. Any way, who am I to judge.
Kumdhalilisha Mange huko Finland !
Mange ameshasema say anything about her using your true identity,anything else she will pursue you to the ends of earth-fair game you attack her and she answers back-ukificha identity unamnyima haki yake ya kujiteteaKakamatwa kwa kosa gani? Mambo mengine kujipalia mkaa wa moto jamani. Mange hii move inaweza kuback fire ikamtia ndani vile. Any way, who am I to judge.
Uko sahihi sana, my nephew alipata kazi, sitaitaja basi security ilihusu mpaka babu na bibi, kaka yangu mkubwa ndiyo ikafuatia wazazi wake.Duh, huyu Mange bado anaendeleza vituko? Atulie kwa heshima ya wanae jamani. Huwezi jua wakikua watachukulia hizi beef kama upumbavu au ushupavu kutegemeana na personalities zao.
Assume mmoja wapo atake kugombea au kuongoza high office pahala, security clearance inagusa hadi wazazi.
More popcorn please....
inategemea her country of residence inaonaje hayo maandishi yake-je ni democratic right yake au otherwiseMmh. Basi Makonda na wengine including Lowassa wanaweza kulala mbele na Mange. Mange kalifikiria hilo?
View attachment 396937View attachment 396938View attachment 396939 Ngoma inanoga iisee, kumbe Mange akifunguka juu ya kilichomuua dingi yake kuna mambo mengine yatajulikana. Hapo ndipo ninapomuonaga mange mkurupukaji aisee. Na hy chat tutajuaje kama ni Anil kweli au just she is using jina la Anil kwenye simu nyingine kuondoa issue hii kijanja.?
Kama ye chizi amwage tu na sio kuona hivyo baada ya criticism alizopata
Mange ameshasema say anything about her using your true identity,anything else she will pursue you to the ends of earth-fair game you attack her and she answers back-ukificha identity unamnyima haki yake ya kujitetea
Bongo hakuna sheria za kumfunga ndo maana!Mmh. Basi Makonda na wengine including Lowassa wanaweza kulala mbele na Mange. Mange kalifikiria hilo?
huyo babu na bibi walikuwa bongo vijijini?????Uko sahihi sana, my nephew alipata kazi, sitaitaja basi security ilihusu mpaka babu na bibi, kaka yangu mkubwa ndiyo ikafuatia wazazi wake.