Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Duh, huyu Mange bado anaendeleza vituko? Atulie kwa heshima ya wanae jamani. Huwezi jua wakikua watachukulia hizi beef kama upumbavu au ushupavu kutegemeana na personalities zao.

Assume mmoja wapo atake kugombea au kuongoza high office pahala, security clearance inagusa hadi wazazi.

More popcorn please....
 
Post yake ya mwisho ni masaa 21 yaliyopita.
Tuvute subira kidogo, ni mapema kusema chochote.
kapoa siku hizi nasikia
Sure.
Yule mwanamke KP tu ndiye aliyemuweza.
Natamani siku tumnyamazishe,tumalize jeuri zake [emoji34]
ndio maana kamtafuta mpk kampata
Jamani wewe?Ina maana ni kweli gen?
Yule ndio KP?
Ngoja nikaangalie posts zake za mwisho.
ndo yy KP kakamatwa
 
Duh, huyu Mange bado anaendeleza vituko? Atulie kwa heshima ya wanae jamani. Huwezi jua wakikua watachukulia hizi beef kama upumbavu au ushupavu kutegemeana na personalities zao.

Assume mmoja wapo atake kugombea au kuongoza high office pahala, security clearance inagusa hadi wazazi.

More popcorn please....
Security clearance kuhusu hadi wazazi? basi watoto wetu wote hawatapata high office
 
Kakamatwa kwa kosa gani? Mambo mengine kujipalia mkaa wa moto jamani. Mange hii move inaweza kuback fire ikamtia ndani vile. Any way, who am I to judge.
Mange ameshasema say anything about her using your true identity,anything else she will pursue you to the ends of earth-fair game you attack her and she answers back-ukificha identity unamnyima haki yake ya kujitetea
 
Duh, huyu Mange bado anaendeleza vituko? Atulie kwa heshima ya wanae jamani. Huwezi jua wakikua watachukulia hizi beef kama upumbavu au ushupavu kutegemeana na personalities zao.

Assume mmoja wapo atake kugombea au kuongoza high office pahala, security clearance inagusa hadi wazazi.

More popcorn please....
Uko sahihi sana, my nephew alipata kazi, sitaitaja basi security ilihusu mpaka babu na bibi, kaka yangu mkubwa ndiyo ikafuatia wazazi wake.
 
View attachment 396937View attachment 396938View attachment 396939 Ngoma inanoga iisee, kumbe Mange akifunguka juu ya kilichomuua dingi yake kuna mambo mengine yatajulikana. Hapo ndipo ninapomuonaga mange mkurupukaji aisee. Na hy chat tutajuaje kama ni Anil kweli au just she is using jina la Anil kwenye simu nyingine kuondoa issue hii kijanja.?

Kama ye chizi amwage tu na sio kuona hivyo baada ya criticism alizopata

Hiyo chat wala sio ya anil trust me,angalia muda uliotumika ktk hayo majibizano ya msg,unawezaje kuchat na mtu tena kwa sms halafu muda utofautiane kwa seconds instead of min.halafu hii sio mala ya kwanza kufanya mchezo huo.mange akisha ku attack lazima ataweka kitu kama hicho kuonyesha anapewa infos na watu wakati si kweli,huo mchwzo ni simple sana ila kwa wasio fahamu ndio hivyo tena wanamshangilia.
 
Mange ameshasema say anything about her using your true identity,anything else she will pursue you to the ends of earth-fair game you attack her and she answers back-ukificha identity unamnyima haki yake ya kujitetea

Unamyima haki yake ya kujitetea au kukuchamba. Sidhani kama huyo mama unaweza kumwambia ukweli pale apokosea akakuacha bila kukutukana au kukuchamba. Nadhani ndio sababu ya watu kumchamba huku wamejificha. She is never open for either critisism or competition, ye lazima awe mshindi. So she is always in self defense mode.
 
Back
Top Bottom