Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Halafu nifah my dear unadhani sijui ni Laramoko, etc....hii namba ntakushutua PM hutaamini, nimefanyia critical investigation almost 1month namuona tuu anapost, Hamad!!! Leo kajichanganya na mipost yake, so I had to ask mods about this, and give me total shit about her fekero and everything, yaani hii ID yake ndo kila kitu hapa JF!!!!
Whatchu waiting for darling? Pls PM me ASAP!
Uwiiiiiii am dying to know [emoji134]
 
mtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.

Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
 
umemaliza kila kitu
 
Gwa myetu agho gha bhakikulu walekele abhene
mtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.

Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
Agho gha bhakikulu walekele abhene
 
1473539236413.png
Hahahaaa kp yuko mahabusu jamani
 
mtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.

Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
Hata katika principles za mapambano kamwe usimruhusu adui yako akajua uko upande upi, astukie tu kapigwa risasi. Atulie tu akisikia pah ajue amepigwa. Kichwapanzi ni shujaa haswaa, donda ndugu lililowashinda wengi kaanza kulipa tiba. Angekuwa kama unavyodai Mange asinge hangaika kumtafuta. Kaguswa pabaya kama anavyowagusa wengine
 
Huhuuuuu kuntuuuuu [emoji108]
Umejibu kwa hoja kaliiiiiii.
Chezea Le Field Marshall KP wewe?
 
Hata katika principles za mapambano kamwe usimruhusu adui yako akajua uko upande upi, astukie tu kapigwa risasi. Atulie tu akisikia pah ajue amepigwa. Kichwapanzi ni shujaa haswaa, donda ndugu lililowashinda wengi kaanza kulipa tiba. Angekuwa kama unavyodai Mange asinge hangaika kumtafuta. Kaguswa pabaya kama anavyowagusa wengine
Mange alishatoa maelezo kwamba mtu yoyote akitumia page yake OG kumtukana yeye yuko poa tu kwasababu na yeye atakujibu Kama anavyo fanya kwa lemutuz na wakina Linda na hapo huwa anafurahi kwasababu anachambana na mtu anayemfahamu kuhusu kumtafuta kichwa panzi Alisha sema anamtafuta kwasabu anatumia id fake lakini kama angekuwa atumii fekero asinge hangaika kumtafuta wange chambanatu na yangeisha Kama inavyokuwa kwa lemutuz na wengine!
 
mtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.

Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
Uko sahihi jembe kunasiku walikuwa wanamsifia hapa kwamba kichwa panzi ndio anamweza mange ikabidi niende kwenye page ya huyo kichapanzi kushuhudia kufika huko nikakuta maelezo makavu hayana hata rojoo
na hayavutii kuyasoma toka siku hiyo bado huwa naamini hakuna wakushindana na mange labda lemutuz jembe mwenzetu anajikongoja!
 
Toka mwanzo nilimwambia we ni nasra na ushaongopewa et lemutuz anaandaaga events za kushiba lini aliandaa events zaid ya kwenda bure tu tv & radio za mosha [emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimeeaganya nyie watu
loohhh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Majirani mbona mwamtoa povu mtu wa watu

Nakumbuka ile picha alipigwa Lemutuz kwenye ile party ya Go Back to School bash kama sikosei watoto wa school nyomi halafu yeye yuko kati jamani mange alimchamba na ile pic nilicheka kuiona sisahau ( usikute baby Na aliambiwa ile event ndio muandaaji [emoji12] [emoji12] [emoji12] )
 
witnessj una kesi ya kujibu, sio kwa kunigandisha hivi PM.
[emoji34][emoji34][emoji34]
Dear siwezi kukugandisha...mwenzako si Jana nikaropoka nikaquote comment yake kwamba yy ni mange! Acha nipewe makavuuu! [emoji24] [emoji24] [emoji24] hadi pozi likaniishia...ntakupm very soon tusaidiane huu uchunguzi...si kwa kichambo nilichopewa Jana!!
 
Back
Top Bottom