jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
Ana degree tatu you knowhahaa le mutuz anajua soko la hisa? labda soko la mabebz u know!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana degree tatu you knowhahaa le mutuz anajua soko la hisa? labda soko la mabebz u know!
Whatchu waiting for darling? Pls PM me ASAP!Halafu nifah my dear unadhani sijui ni Laramoko, etc....hii namba ntakushutua PM hutaamini, nimefanyia critical investigation almost 1month namuona tuu anapost, Hamad!!! Leo kajichanganya na mipost yake, so I had to ask mods about this, and give me total shit about her fekero and everything, yaani hii ID yake ndo kila kitu hapa JF!!!!
msinisahau kwenye umbea huo jamaniWhatchu waiting for darling? Pls PM me ASAP!
Uwiiiiiii am dying to know [emoji134]
umemaliza kila kitumtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.
Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
Agho gha bhakikulu walekele abhenemtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.
Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
Hata katika principles za mapambano kamwe usimruhusu adui yako akajua uko upande upi, astukie tu kapigwa risasi. Atulie tu akisikia pah ajue amepigwa. Kichwapanzi ni shujaa haswaa, donda ndugu lililowashinda wengi kaanza kulipa tiba. Angekuwa kama unavyodai Mange asinge hangaika kumtafuta. Kaguswa pabaya kama anavyowagusa wenginemtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.
Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
Kabla screenshot haijafunguka nimetetemeka kidogo nidondoshe simu!View attachment 397816 Hahahaaa kp yuko mahabusu jamani
Huhuuuuu kuntuuuuu [emoji108]Hata katika principles za mapambano kamwe usimruhusu adui yako akajua uko upande upi, astukie tu kapigwa risasi. Atulie tu akisikia pah ajue amepigwa. Kichwapanzi ni shujaa haswaa, donda ndugu lililowashinda wengi kaanza kulipa tiba. Angekuwa kama unavyodai Mange asinge hangaika kumtafuta. Kaguswa pabaya kama anavyowagusa wengine
Mange alishatoa maelezo kwamba mtu yoyote akitumia page yake OG kumtukana yeye yuko poa tu kwasababu na yeye atakujibu Kama anavyo fanya kwa lemutuz na wakina Linda na hapo huwa anafurahi kwasababu anachambana na mtu anayemfahamu kuhusu kumtafuta kichwa panzi Alisha sema anamtafuta kwasabu anatumia id fake lakini kama angekuwa atumii fekero asinge hangaika kumtafuta wange chambanatu na yangeisha Kama inavyokuwa kwa lemutuz na wengine!Hata katika principles za mapambano kamwe usimruhusu adui yako akajua uko upande upi, astukie tu kapigwa risasi. Atulie tu akisikia pah ajue amepigwa. Kichwapanzi ni shujaa haswaa, donda ndugu lililowashinda wengi kaanza kulipa tiba. Angekuwa kama unavyodai Mange asinge hangaika kumtafuta. Kaguswa pabaya kama anavyowagusa wengine
Uko sahihi jembe kunasiku walikuwa wanamsifia hapa kwamba kichwa panzi ndio anamweza mange ikabidi niende kwenye page ya huyo kichapanzi kushuhudia kufika huko nikakuta maelezo makavu hayana hata rojoomtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.
Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Toka mwanzo nilimwambia we ni nasra na ushaongopewa et lemutuz anaandaaga events za kushiba lini aliandaa events zaid ya kwenda bure tu tv & radio za mosha [emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Majirani mbona mwamtoa povu mtu wa watu
Nakumbuka ile picha alipigwa Lemutuz kwenye ile party ya Go Back to School bash kama sikosei watoto wa school nyomi halafu yeye yuko kati jamani mange alimchamba na ile pic nilicheka kuiona sisahau ( usikute baby Na aliambiwa ile event ndio muandaaji [emoji12] [emoji12] [emoji12] )
Pole kipenziKabla screenshot haijafunguka nimetetemeka kidogo nidondoshe simu!
Ionee roho yangu huruma jamani [emoji22][emoji22][emoji22]
Dear siwezi kukugandisha...mwenzako si Jana nikaropoka nikaquote comment yake kwamba yy ni mange! Acha nipewe makavuuu! [emoji24] [emoji24] [emoji24] hadi pozi likaniishia...ntakupm very soon tusaidiane huu uchunguzi...si kwa kichambo nilichopewa Jana!!witnessj una kesi ya kujibu, sio kwa kunigandisha hivi PM.
[emoji34][emoji34][emoji34]
Heheeeee uwiiiiii nimechekaje?Malizia shot ya maandishi dear.Mange bwana. So inawezekana mzee wa Rolex alitaka kumla uroda kumbe hana kitu? View attachment 398038