Taliban hawana pesa ya kuendesha Serikali

Hizo dini zote ni mapokeo mmesahu mila na destur za kwenu mmebaki mnaita waafrika wenzenu makafiri [emoji22][emoji22],huu ni msiba
 
Ndio maana nawaambia watu siku zote Marekani sio nchi yakuchezea labda tu niwaambie hapa Tz siku mmarekani ataacha toa mabilion yake kwenye secta ya Afya take my words watu watakufa kama wamepata ugonjwa wa mdondo. Mfano tu doz ya ARV kwa mgonjwa mmoja it cost up to usd 4600 na kwa taarifa tu ninkwa msaada wa serikali ya marekani aka mabeberu. Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi maana sisi ni matajiri ila bado misaada tuna itaka kama haki yetu... That is why i say always this nation need genius not bulidoza... End
 
Hiyo misahafu wanasoma wao tu?

Unaonaje ukifutika wewe kama kero imekua nzito sana kwako?
Kero Wala sio nzito kwangu maana kibongobongo (ukitoa wachoma makanisa,uamsho,Hamza,Kibiti,alshabab mtwara) hawasumbui sana...Kero kubwa IPO huko wanakosumbua hata nchi zao wenyewe Ni Kero Tu...we hujaiona clip watu wanazikimbia Hizo Kero wako radhi warukie ndege Kwa nje?
 
Lazima alikuwepo. Kwani mtume wa waislamu aliwaambia wavae mabomu wajiripue?
Mtaje.
Mtume wa waislam hakutaja mabom kwasababu hayakuwepo lakin kupitia Quran alisema waislam watumie silaha yoyote Na wahakikishe wanapata silaha kubwakubwa ili wamwage damu vizuri
 
Huruma yako ni njema utawasaidiaje sasa au ulitakaje labda
 
Tulia mzee, kwanza hiyo source imekaa ki US sanaaa, mkanda haujaanza mbona we tulia ucheki muvi. Dunia hii kuna watu wanatucontrol kama ving'amuzi vya DSTV.
 
Huruma yako ni njema utawasaidiaje sasa au ulitakaje labda
Mambo ya kufanya Ni mengi..ukiona mwenzako ananyooewa zako Tia maji....nachofanya/unachotakiwa kufanya Ni Donate /hamasisha watu wadonate kusaidia wakimbizi/au watu wanaoonewa/kukandamizwa Hizo nchi....Na pambana Hizo ideology zisifike bongo Na Kuwa mainstream Kwa kuwafanya vijana wawe aware na yanayoendelea duniani Na kukemea upotoshaji/propaganda ambazo hii Dini inafanya kuwatetea ISIS, Taliban,Al Shabaab,Boko Haram and the likes
 
Wauze bangi na opium kwani miaka yote walikuwa wanaendeshaje
 
Hii nchi inaonekana imekuwa ikitegemea zaidi misaada kutoka kwa mataifa ya magharibi, sasa kwa kuwa wameondoka ghafla hawa Taliban hawana njia mbadala.

Na kwa kuzingatia kwamba pesa zao nyingi zimezuiliwa nje hawana namna itabidi wawapigie wamarekani magoli maanake hawana ujanja.
 
Hizo dini zote ni mapokeo mmesahu mila na destur za kwenu mmebaki mnaita waafrika wenzenu makafiri [emoji22][emoji22],huu ni msiba

Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
 
Kiongozi unaamini hawa wapuuzi wataweza kendesha uchumi wa nchi?

Kwanini uwaite wapuuzi, wamekukosea nini mkuu. Wamekanyaga ardhi yako kukupiga au kuiba madini!!!! Na kwanini washindwe kuendesha uchumi, sema wameikuta nchi katika hali mbaya ya kiuchumi,,,,ili irudi kwenye hali yake lazima wapate sapoti kutoka nchi za kiarabu,,,,na naamini arab countries zitawasapoti. Nchi ilikuwa kwenye vita 20 years chini ya mmarekani, ujerumany n.k na vibaraka wake waliowapachika na kuiacha nchi ikiwa imechoka, so unategemea uchumi utapanda kwa haraka ivyo!!!!
 
Silaha ni fedha chafu ya mihadarati waliikuwa wanafanya
Taleban kwani nani alikuwa anawapa silaha? Wanasupport Iran [emoji1130], Russia [emoji635] na China [emoji630]......na hao Arab's countries zinazo jificha ficha
 
Mtaje.
Mtume wa waislam hakutaja mabom kwasababu hayakuwepo lakin kupitia Quran alisema waislam watumie silaha yoyote Na wahakikishe wanapata silaha kubwakubwa ili wamwage damu vizuri
Una hakika na unayoyasema au umekaririsha aya moja ukaiongezea tafsiri unayopenda mwenyewe? Kufanya tafsiri ya Qurani ni kwamba unatakiwa uelewe context ya hiyo aya, na pengine huwa imeunganishwa na aya zilizoko kwenye sura nyingine ili kuleta maana kamili. Sasa nyinyi wenzetu huwa munafanyiwa 'quote' ya aya moja halafu na tafsiri ndiyo munakuja kuleta maneno mengi hapa.
 
Hjanielewa, nasema rejea kwenye quran, tena iwe ya swahili iwe manufaa kwa kila mtu, surah ipi? rejea hapa mkuu... tukisoma tukaelewa tuje tu confirm kile ulichokisema uislamu umeamrisha wafuasi wake waingie barabaran kuchinja wasiomuamini Mungu wao wewe mahakamani unafeli vibaya sana kwa uwezo wako wa kujenga hoja...


acha janja janja... msiwe mnasikia story za kwenye gahawa... ukiambiwa kuleta ushahidi unaanza ku google... weka mind free kujifunza na kutafakari na sio kupinga tu hoja kisa uonekane mshindi haliyakuwa upo wrong...
 
Hela watoe wapi, labda mwarabu wa juu kule wawape booster ila nao pia watachoka tu. Sasa hapo ndipo mzungu anapojichekea moyoni kwani anajua tu lazma kuna mtu atakubali masharti yake bila hivyo awe mpenzi mtazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…