Taliban hawana pesa ya kuendesha Serikali

Haya magaidi lini wakawa wakarimu? Wanachinja watu,wanahukumu kwa kupiga mawe mtu Hadi kufa
Ukarimu wa mwarabu labda upo kuzimu

Ndiyo ujuwe sasa,, waarabu ni wastaarabu, karimu na wenye hekima.

Waarabu=Ustaarabu.

Na usome uisilamu upate kujua yaliyomo, na co kuckia ya mtaani na kuja humu kuropoka tu.
 
Hao ndugu eti kwa mawazo yao hapa wanapita tu na kwamba kuna pepo ambayo watakuta mito ya pombe, asali, maziwa na mademu 72 wakaliii! na kwamba eti huko ndio wataishi milele na sijui wanawake wao nao watapata ma six pack 72? Mambo mengine ya hii dini yameandikwa kimwili zaidi kuliko uhalisia, kwanza wanapoiharibu hii dunia tuliomo, wanauhakika gani kwamba hapa sio peponi? huenda tulishaga kufa zamani na hapa sasa ndio peponi unapaharibu kwa kungojea nchi ya kusadikika? kama hawataki mambo ya kimagharibi sasa wanaendesha vifaru, na kutumia ak 47 na mabomu ya nini? na kwa nini kama kweli wanafuata sunna za Mtume, yeye alipanda farasi na punda, vitani alienda na mapanga na mikuki na kombeo, iweje wao wapande magari, ndege, vifaru, watumie bunduki!! Hebu waache watu waishi kistaarabu wawe na choice zao za kiimani na wasiwakatishie uhai watu kwa kisingizio cha kumpigania Allah, yeye mwenyewe ana uwezo mkubwa wa Kujipigania.
Ndugu yangu uislam ni idara mojawapo ya Shetani katika idara zake nyingi.
Huitaji kuchunguza sana kitabu chao hata kwa kuwaangalia wanavyo watendea binadamu wenzao tena wakati mwingine wa dini hiyohiyo, utajua kuwa kiongozi wake ni muuaji mkuu. Bila shaka ni Lusifa mwenyewe.
 
Wakati mwingine muwe mnatumia vichwa vyenu unapost gazeti lilojaa hadithi za esopo hata we ujiulizi mwamerika kapigana na Talabani miaka 20 huyu Talaban mpaka America imenyoosha mikono juu na kuomba amani miaka yote hiyo Talaban alipata wapi pesa za kugharimia vita na mambo mengine ya kijamii?
Huu ndo ubishi wa kijinga wa kidini.
 
Inategemea Mungu Gani unamuongelea...Kuna Mungu mmoja anapenda madaraka kinoma hata mtume wake alikuwa war monger...Aliua maelfu ya watu ili asimike Dola yake
Shetani huko kuzimu hujiita Mungu pia, usishangae.
Yesu kristo alimwita Mungu wa dunia hii.
Usishangae wakimwita Mungu kama hivi.
 
Wewe hata kama ni kafiri lakini usibezi upande mmoja,,, unajuwa fiika ni propaganda za mabeberu, unajuwa fiika marekani ndiye sababu yakuvuruga amani nchi za kiisilamu,,,,,, lakini mnajitoa ufahamu, na chuki imewajaa moyoni mnatamani waisilamu kote duniani waangamizwe mubaki ninyi tu,,,,hilo musahau [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna baadhi ya wakristo wanajitambua, nawanachukizwa na vitendo vya westerns + Israel dhid ya islamic state na baadhi yanchi za kiafrika. Wabarikiwe.
Uisilam adui wake mkubwa ni yule mwenye nguvu lakini hawachukii wakristo na ukristo duniani.
Hii ni tabia ya Shetani dhahir.
 
Yani kijana unavyozidi kkomenti ndio unadhihirisha upeo wako jinc ulivyo, hujui chochote kuhusu taleban, hujui chochote kuhusu uisilamu na waisilamu kwa ujumla. Uisilamu haufundishi kuuwa wala kuripua watu wasio na hatia. Je, Taleban wamefanya hivyo???? Njoo na ushahidi uliokamilika na co story za mabeberu wako.(BBC, CNN)
Ubishi wa kiislam huu.
Mauaji ya waislam duniani yanahitaji ushaidi?
Hapa kwetu tu kama sio busara ya wa kristo na serikali yao, mauaji yasinge kwepeka kwasababu ya uislam na waislam.
Waislam wanatamani sana kumwaga damu za binadamu kuliko kusaidia watu.
 
Una hakika na unayoyasema au umekaririsha aya moja ukaiongezea tafsiri unayopenda mwenyewe? Kufanya tafsiri ya Qurani ni kwamba unatakiwa uelewe context ya hiyo aya, na pengine huwa imeunganishwa na aya zilizoko kwenye sura nyingine ili kuleta maana kamili. Sasa nyinyi wenzetu huwa munafanyiwa 'quote' ya aya moja halafu na tafsiri ndiyo munakuja kuleta maneno mengi hapa.
Tupe tafsiri yake kwa mujibu wako
 
Hjanielewa, nasema rejea kwenye quran, tena iwe ya swahili iwe manufaa kwa kila mtu, surah ipi? rejea hapa mkuu... tukisoma tukaelewa tuje tu confirm kile ulichokisema uislamu umeamrisha wafuasi wake waingie barabaran kuchinja wasiomuamini Mungu wao wewe mahakamani unafeli vibaya sana kwa uwezo wako wa kujenga hoja...

acha janja janja... msiwe mnasikia story za kwenye gahawa... ukiambiwa kuleta ushahidi unaanza ku google... weka mind free kujifunza na kutafakari na sio kupinga tu hoja kisa uonekane mshindi haliyakuwa upo wrong...
Lete hiyo tafsiri tuione
 
Sasa wewe hata kutamka tu neno Kur'ani unaandika kulwani, sasa hicho unachosoma wewe siyo cha waislamu kabisa.

Zahir Naik ndiyo nani. Ni one school of thought. Ziko schools of thought nyingi
Leta tafsiri sahihi basi!
 
Kama waliosoma dini ndio haya yanajilipua na kuchinja watu uko afghanistan kuna haja ya kusoma?
Ndiyo ujuwe sasa,, waarabu ni wastaarabu, karimu na wenye hekima.

Waarabu=Ustaarabu.

Na usome uisilamu upate kujua yaliyomo, na co kuckia ya mtaani na kuja humu kuropoka tu.
 
Kama waliosoma dini ndio haya yanajilipua na kuchinja watu uko afghanistan kuna haja ya kusoma?

Ni kwamba hujui mafundisho ya kiisilamu yanasemaje, bali unachokickia mtaani kwenu na Propaganda za western ndicho ulichokikariri/shika na kuyaleta apa, na wacojuwa wanakufuata.

Nakuomba soma haya maelezo adi mwisho utapata faida, na wenzio wape faida wapate kujuwa.

SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye kurehemu.

Sala na salamu zimthibitikie Mtume wetu Muhammad Swallallahu Alayhi Wasallam, maswahaba wake watukufu na watangu wema hadi siku ya Kiyaamah.

Neno Uislamu linamaanisha amani kwa Kiarabu. Uislamu ni dini iliyoteremshwa ili kumwakilisha mtu pamoja na maisha yaliyojaa utulivu na amani ambayo yana huruma isiyo na mwisho ya Allah iko waziwazi. Allah anawaita watu kuja katika maadili ya Uisilamu kuwa ndio kigezo ambacho huruma, uvumilivu na amani vinaweza kufanyiwa kazi. Yafuatayo yanaelezwa katika aya 208 ya sura al-Baqara:

“Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She’tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi.”

Kama inavyoonekana katika aya, Allah anaeleza kuwa usalama wa watu unaweza kuhakikishwa tu kupitia kuukubali Uisilamu na kutekeleza kwa vitendo maadili ya Quran.

Uisilamu unaulinda uhuru wa kutafakari na uvumilivu

Uislamu, ambayo ni dini inayoeleza na kuhakikisha waziwazi uhuru wa kutafakari na maisha, imetoa maamrisho yanayozuia na kukataza kuwekana roho juu, migogoro kati ya watu, kusemana na hata kuwadhania watu vibaya.

Sio tu kutishia na matumizi ya nguvu, Uisilamu unakataza kuweka hata shinikizo dogo kwenye fikra za watu.

“Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu.” (al-Baqara, 2/256)

“Wewe si mwenye kuwatawalia.” (al-Ghashiya, 88/22)

Ni kinyume na maumbile na uhalisia wa Uislamu kuwateza nguvu watu ili waamini katika dini au kufanya ibada. Kwa kuwa, Uislamu umeweka utashi huru na ridhaa makini kuwa ndio sharti la imani. Bila ya shaka, Waislamu wanaweza kuonya na kuhamasishana hivyo wanaweza kutekeleza kwa vitendo sifa za kimaadili zilizofafanuliwa ndani ya Quran. Hata hivyo, hawawezi kutezana nguvu kuhusiana na hilo. Sio sawa kupendekeza vipaumbele fulani vya kidunia ili kumfanya mtu fulani afanye ibada.

Fikiria kuhusu kigezo cha jumuia kilicho kinyume cha mtindo wa hilo. Mathalani, jaalia kuwa watu wanatezwa nguvu kuabudu. Jumuia ya namna hiyo iko kinyume kabisa na Uisilamu. Kwa kuwa, imani na ibada vinakuwa na thamani vinapotekelezwa kwa ajili ya Allah. Ikiwa mfumo wa utawala utawalazimisha watu kuamini na kuabudu, watu watakuwa ni washika dini kwa sababu ya kuuogopa mfumo-tawala.

Kilichokuwa na thamani kwa upande wa dini ni kutekeleza dini kwa vitendo kwa ajili ya Allah katika mazingira huru kabisa.

Allah ameharamisha kuua watu wasio na hatia Kwa mujibu wa Quran, kumuua mtu asiye na hatia ni moja ya madhambi makubwa mno:

“…aliye muuwa mtu bila ya yeye kuua, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.” (al-Maida, 5/32)

“Na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyoiharamisha Mwenyezi Mungu isipo kuwa kwa haki, wala hawazini – na atakaye fanya hayo atapata madhara,” (al-Furqan, 25/68)

Kama inavyoonekanwa katika aya hapo juu, wale wanaoua watu wasiokuwa na hatia wanaonywa na adhabu kali. Allah anaeleza kuwa kumuua mtu mmoja ni uhalifu mkubwa mno kama kuua watu wote. Haiwezekani kwa mtu anayetii mipaka iliyowekwa na Allah kumdhuru hata mmoja achilia mbali kuua maelfu ya watu wasio na hatia.

Kukwepa haki

Wale wanaodhani kwamba wanaweza kuikwepa haki na kunusurika nayo hawatoweza kukwepa kisasi mbele ya Allah.

Kwa hivyo, waumini wanaojua kwamba watalipiziwa mbele ya Allah baada ya kifo wanatenda mambo kwa uangalifu mno ili kutii mipaka iliyowekwa na Allah. Allah anawaamuru waumini kuwa na huruma.

Maadili ya Mwislamu yanafafanuliwa kama ifuatavyo katika aya:

“Tena awe miongoni mwa walioamini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana. Hao ndio watu wa kheri wa kuliani.” (al-Balad, 90/17-18)

Moja ya sifa muhimu mno za maadili yaliyoteremshwa na Allah kwa waja Wake ili wapate wokovu Siku ya Kiama, rehema Zake na Pepo ni “kuamrishana subira”. Uisilamu, unaoelezwa katika Quran, una muundo wa kisasa, wenye kuelimisha na wa kimaendeleo. Mwisilamu wa kweli anayo haiba ya amani, uvumilivu, kidemokrasia, kitamaduni, utambuzi/usomi, uaminifu, jicho la sanaa na sayansi na ustaarabu.

Mwisilamu aliyelelewa na maadili ya juu yaliyotajwa na Quran anatangamana na kila mtu kwa upendo unaotumainiwa na Uisilamu. Wa Allahu a'lam
 
Ubishi wa kiislam huu.
Mauaji ya waislam duniani yanahitaji ushaidi?
Hapa kwetu tu kama sio busara ya wa kristo na serikali yao, mauaji yasinge kwepeka kwasababu ya uislam na waislam.
Waislam wanatamani sana kumwaga damu za binadamu kuliko kusaidia watu.

Narudia tena mzehe,, huujui uislamu wala mafundisho yake. Mabeberu na makafiri wa kiyahudi washawakaririsha ujinga nanyi mukaamini. Usome uislamu upate kujua yaliyomo, na co kuckia yasiyo na uhakika.

Nakuomba soma haya maelezo adi mwisho utapata faida mkuu The got, na wenzio wape faida wapate kujuwa.

SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na mwenye kurehemu.

Sala na salamu zimthibitikie Mtume wetu Muhammad Swallallahu Alayhi Wasallam, maswahaba wake watukufu na watangu wema hadi siku ya Kiyaamah.

Neno Uislamu linamaanisha amani kwa Kiarabu. Uislamu ni dini iliyoteremshwa ili kumwakilisha mtu pamoja na maisha yaliyojaa utulivu na amani ambayo yana huruma isiyo na mwisho ya Allah iko waziwazi. Allah anawaita watu kuja katika maadili ya Uisilamu kuwa ndio kigezo ambacho huruma, uvumilivu na amani vinaweza kufanyiwa kazi. Yafuatayo yanaelezwa katika aya 208 ya sura al-Baqara:

“Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She’tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi.”

Kama inavyoonekana katika aya, Allah anaeleza kuwa usalama wa watu unaweza kuhakikishwa tu kupitia kuukubali Uisilamu na kutekeleza kwa vitendo maadili ya Quran.

Uisilamu unaulinda uhuru wa kutafakari na uvumilivu

Uislamu, ambayo ni dini inayoeleza na kuhakikisha waziwazi uhuru wa kutafakari na maisha, imetoa maamrisho yanayozuia na kukataza kuwekana roho juu, migogoro kati ya watu, kusemana na hata kuwadhania watu vibaya.

Sio tu kutishia na matumizi ya nguvu, Uisilamu unakataza kuweka hata shinikizo dogo kwenye fikra za watu.

“Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu.” (al-Baqara, 2/256)

“Wewe si mwenye kuwatawalia.” (al-Ghashiya, 88/22)

Ni kinyume na maumbile na uhalisia wa Uislamu kuwateza nguvu watu ili waamini katika dini au kufanya ibada. Kwa kuwa, Uislamu umeweka utashi huru na ridhaa makini kuwa ndio sharti la imani. Bila ya shaka, Waislamu wanaweza kuonya na kuhamasishana hivyo wanaweza kutekeleza kwa vitendo sifa za kimaadili zilizofafanuliwa ndani ya Quran. Hata hivyo, hawawezi kutezana nguvu kuhusiana na hilo. Sio sawa kupendekeza vipaumbele fulani vya kidunia ili kumfanya mtu fulani afanye ibada.

Fikiria kuhusu kigezo cha jumuia kilicho kinyume cha mtindo wa hilo. Mathalani, jaalia kuwa watu wanatezwa nguvu kuabudu. Jumuia ya namna hiyo iko kinyume kabisa na Uisilamu. Kwa kuwa, imani na ibada vinakuwa na thamani vinapotekelezwa kwa ajili ya Allah. Ikiwa mfumo wa utawala utawalazimisha watu kuamini na kuabudu, watu watakuwa ni washika dini kwa sababu ya kuuogopa mfumo-tawala.

Kilichokuwa na thamani kwa upande wa dini ni kutekeleza dini kwa vitendo kwa ajili ya Allah katika mazingira huru kabisa.

Allah ameharamisha kuua watu wasio na hatia Kwa mujibu wa Quran, kumuua mtu asiye na hatia ni moja ya madhambi makubwa mno:

“…aliye muuwa mtu bila ya yeye kuua, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.” (al-Maida, 5/32)

“Na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyoiharamisha Mwenyezi Mungu isipo kuwa kwa haki, wala hawazini – na atakaye fanya hayo atapata madhara,” (al-Furqan, 25/68)

Kama inavyoonekanwa katika aya hapo juu, wale wanaoua watu wasiokuwa na hatia wanaonywa na adhabu kali. Allah anaeleza kuwa kumuua mtu mmoja ni uhalifu mkubwa mno kama kuua watu wote. Haiwezekani kwa mtu anayetii mipaka iliyowekwa na Allah kumdhuru hata mmoja achilia mbali kuua maelfu ya watu wasio na hatia.

Kukwepa haki

Wale wanaodhani kwamba wanaweza kuikwepa haki na kunusurika nayo hawatoweza kukwepa kisasi mbele ya Allah.

Kwa hivyo, waumini wanaojua kwamba watalipiziwa mbele ya Allah baada ya kifo wanatenda mambo kwa uangalifu mno ili kutii mipaka iliyowekwa na Allah. Allah anawaamuru waumini kuwa na huruma.

Maadili ya Mwislamu yanafafanuliwa kama ifuatavyo katika aya:

“Tena awe miongoni mwa walioamini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana. Hao ndio watu wa kheri wa kuliani.” (al-Balad, 90/17-18)

Moja ya sifa muhimu mno za maadili yaliyoteremshwa na Allah kwa waja Wake ili wapate wokovu Siku ya Kiama, rehema Zake na Pepo ni “kuamrishana subira”. Uisilamu, unaoelezwa katika Quran, una muundo wa kisasa, wenye kuelimisha na wa kimaendeleo. Mwisilamu wa kweli anayo haiba ya amani, uvumilivu, kidemokrasia, kitamaduni, utambuzi/usomi, uaminifu, jicho la sanaa na sayansi na ustaarabu.

Mwisilamu aliyelelewa na maadili ya juu yaliyotajwa na Quran anatangamana na kila mtu kwa upendo unaotumainiwa na Uisilamu. Wa Allahu a'lam
 
Mkuu ni vigumu kuniaminisha ati yale mauaji ya afhagstan yanayojitoa muhanga kuwa ni watu wazuri au apo juu kwa wasomali
Watu wanasema wanapigania dini na kuua ni thawabu sasa iyo dini gani
Sitaki kugusia huko

Ukiona muisilamu anauwa watu wasio na hatia bac huyo mtu yuko nje ya mafundisho ya dini yetu, na Mwenyezi Mungu ametuamrisha kuwa👇🏼
Screenshot_20210913-135555_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom