Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Yes, muislam ndugu yake ni muislam ila sio MUARABU, usituchanganyie habari kama wote ni Watoto hapa.Upo wromg kabisa. Kitu unachoshindwa kukielewa ni mafunzo ya Uislam.
Waulize Waislam wanaposema Muislam ndugu yake Muislam wanamaanisha nini?
Au muulize Nyerere, alipata api mafunzo ya kusema Watanzania tusiitane,Mr., boss, tuitane "ndugu".
Afghanistan Hoyee.
Uislam ni Uislam na uarabu ni uarabu, ndio maana huwezi kukuta au kama wapo basi ni ⅒ ya hao unaowaabudu wamezaa na Waafrika.
Kama mnashindwa hata kuoana na kuzailiana na hao unaowaita Ndugu, huo Uislam na undugu unaingiaje hapo?
Mbona wapo Waarabu wakristo pia? Sijawahi kujua kuwa una akili ndogo kiasi hiki Rafiki